Ningekuwa P funk, Ningeipumzisha Mike aliyokuwa anaitumia Ngwair

PFunky katengeneza malegend wengi wa Hiphop kama Prof Jay, Jaymo, SoloThang, Afande, Nature, n.k sasa sijui azipumzisha mike ngapi
 
Hivi ngwair ni kipi kikubwa alichofanya kwenye mziki wa tanzania?? Nimeuliza tu kwa nia njema ya kujua!
 
Hivi ngwair ni kipi kikubwa alichofanya kwenye mziki wa tanzania?? Nimeuliza tu kwa nia njema ya kujua!
Alikuwa msanii mzuri sana mwenye kipaji kikubwa, ila hajafanya makubwa kuliko the likes of Profesa Jay, Sugu, Lady Jaydee, Diamond, AY, Alikiba, Saida Karoli, n.k hayo mengine ni sifa za marehemu usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…