Ningekuwa Rais ningefanya haya kuelekea uchaguzi mkuu

Ningekuwa Rais ningefanya haya kuelekea uchaguzi mkuu

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
454
Reaction score
635
Baada ya Bunge kupitisha bajet nitakutana na wataalam wa Sheria, kikubwa nikuanIsha upya mchakato wa mabadiliko. Na ili mchakato huu uwe uhuru Bunge la sasa litapitisha mabadiliko madogo ya katiba yakuanzisha serikali ya mpito chini ya Rais aliyepo.

Hivyo ili kuwe na uhuru wa maoni Bunge la sasa nitalivyuja, nitaanzisha Bunge la mpito litaanzishwa kwa mujibu wa mabadiliko madogo ya katiba na Sheria ya Bunge la sasa. Bunge Hilo litakuwa na majukumu sawa na Bunge la jamhuri ya Muungano. Pia nitafanya mabadiliko madogo ya katiba yanayoruhusu kuteua mawaziri kutokana na professional zao siyo lazima awe mbunge.

Mambo yakutekeleza chini ya serikali ya mpito na Bunge la mpito;

1: Uchaguzi 2025 utaahirishwa.

2: Mchakato wa katiba mpya utaanza pale ulipoiahia na hatimaye katiba mpya itapitishwa itakuwa Mwaka moja na nusu

3: Tume huru na utungaji wa Sheria mpya na kanuni zake kulingana na katiba mpya;
uundaji wa Tume huru ya Uchaguzi na uandikishaji upya mwaka moja 1.5

4: Kuanza uchaguzi mpya
Uchaguzi mpya utakuwa 2030, baada ya michakato yote kakamilika.

Kwa kuwa naamini mpango wangu utapingwa na system, nitaongea na CDF nihamishe majukumu ya ofisi ya Rais ngome kwa Muda.

Je, mpaka hapo sijatawala miak 10?

Hakika nitakuwa shujaa katka nchi yangu...
Ningekuwa Samiaaa...halaaa Tanganyika halaa Zanzibar, halaa Tanzania
 
Back
Top Bottom