Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwaiyo kufunga watu jela ndo suluhisho na sio kutafuta watu competent ? Giza haliwezi kuondoa gizaKuna mahali Keko Mwanga karibu na Mkuki house kama unaelekea MSD bomba la DAWASCO lilitoa maji zaidi ya mwaka. Yaani instokea leakage zaidi ya mwaka wahusika hawajui au wanajua wanapuuzia.
Kuna mahali maeneo ya Vingunguti tangu Januari mpaka leo October kuna leakage lakini haijashughulikiwa.
Case kama hizi ziko nyingi, hawa watumishi wa DAWASCO bila kuwaboost na jela kidogo hawawezi kwenda.
Hapo chini ni leakage ya bomba la DAWASCO Vingunguti mataa.
Kule Keko sijui wamesolve au bado maji yanaendelea kumwagika. Nitaenda kesho kuona.
View attachment 2788527
Tulia wewe. Kuwa na utu. Maji ni uhai.Kwaiyo kufunga watu jela ndo suluhisho na sio kutafuta watu competent ? Giza haliwezi kuondoa giza
Sawa mkuuTulia wewe. Kuwa na utu. Maji ni uhai.
Kuwa boost kidg na jela [emoji23]Kuna mahali Keko Mwanga karibu na Mkuki house kama unaelekea MSD bomba la DAWASCO lilitoa maji zaidi ya mwaka. Yaani instokea leakage zaidi ya mwaka wahusika hawajui au wanajua wanapuuzia.
Kuna mahali maeneo ya Vingunguti tangu Januari mpaka leo October kuna leakage lakini haijashughulikiwa.
Case kama hizi ziko nyingi, hawa watumishi wa DAWASCO bila kuwaboost na jela kidogo hawawezi kwenda.
Hapo chini ni leakage ya bomba la DAWASCO Vingunguti mataa.
Kule Keko sijui wamesolve au bado maji yanaendelea kumwagika. Nitaenda kesho kuona.
View attachment 2788527
Leakage inafika mpaka mwaka mmoja!!!Inasikitisha mbaya zaidi kuna mtu anayalipia hayo maji
Huu uzembe umezidi.Kuwa boost kidg na jela [emoji23]
Yes serikali itawagharamia zaidi but wakitoka watafanya vizuri.Hilo eneo liko hivyo tangu zamani!!. Je huoni kuwa kuwafunga miezi sita utaingia gharama zaidi ya kuwalisha dona, kujaza vyoo vya magereza na kuongeza bill za maji na umeme kwenye taasisi? ... Au ni muendelezo wa huyu ni mwenzetu, anayeharibu hapa anahamishiwa sehemu nyingine? 😳 🤔
Mimi Nina miezi miwili Sina majiYes serikali itawagharamia zaidi but wakitoka watafanya vizuri.
Na wengine kutoka mashirika mengine ya umma watajifunza
Nadhani wangepewa kazi ya kufagia barabara kila siku badala ya kuingia ofisi tena bila malipo... Adhabu aliyopewa Basil Pesambili Mramba ya kufagia viunga vya hospitali ya Mwananyamala ingewafaa zaidi kuliko kwenda jela....Jela ni mbaya. 🫢Yes serikali itawagharamia zaidi but wakitoka watafanya vizuri.
Na wengine kutoka mashirika mengine ya umma watajifunza
Hao vijana wametumwa na mteule wake. Kwa namna nyingine aliyemteua ndiye katuma hao vijanaNingekuwa Rais Leo ningemtimua mkuu wa wilaya huko TUNDUMA anatuma vijana kwenda kufanya ugaidi kwenye mikutano,yaani CCM ni wahuniiiii