Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja hapa lakini ukweli yanasumbua sana wateja

Makampuni mengi yamerahisisha njia ya kupokea fedha za wateja huku yakiweka vizingiti njia za kutoa huduma matokeo yake fedha za wateja zinachukuliwa lakini hawapati huduma walizolipia au wanazipata baada ya kukabana koo na haya makampuni

Ningekuwa raisi Samia nisingebakisha hata kampuni moja inayosumbua wateja, ningefuta leseni zote na kuwasitishia huduma zao ili kuepusha usumbufu kwa wateja lakini pia ningeruhusu tu kampuni zilizokidhi viwango vikubwa vya kuhudumia wateja kupata leseni na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom