Ningepata nafasi ningemshauri haya Rais Samia

Mikakati hiyo ya hata kuexport manpower nje Kenya wanajitahidi, manake hata Sasa wameingia makubaliano na nchi kama USA, Germany ,Saudi , Qatar wanaohitaji kwa sasa, watu kwa kazi mbalimbali...
 
Wewe ungemshaurije kiongozi? Ndo maana ya kuwepo mjadala huu!
Hakuna mjadala hapa. Unashauri vipi jambo ambalo lipo miaka na miaka?

Kila leo kuna scholarships nyingi tu zinatolewa na wizara ya elimu kwenda kusoma nje ya nchi.

Bado balozi zilizopo hata Tanzania pia hutoa scholarships nyingi kwenda kusoma nje,bado Kuna mashirika hufanya hivyo kwa miaka mingi tu

Vijana wengi mamia na maelfu wapo nje wanasoma, na hata huku mtaani wapo maelfu wamesoma nje ya nchi

Top officials wengi wa serikali wamesoma nje ya nchi. A

Sasa unataka jipya gani tena watu kusoma nje ya nchi?
 
Watanzania wenye degree hawajafika 60,000? Ulichoandika unakielewa kweli?
 
Wazo zuri sana ila changamoto ni kwamba kwa huo mfumo anaotumikia naona wangepelekwa watoto na wajukuu wa viongozi waandamizi. Kwa hiyo tunakuwa kwenye vicious cycle
Hakika
 
Huwa mnaona raha kuandika ujinga?
 
Unayetaka kumshauri aliunga unga hivi, pana shule hapo?

EDUCATION

School Name/Location

Course/Degree/Award Start Date End Date Level

Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 - 1971 Primary School

Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 - 1972 Primary School

Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 - 1968 Primary School

Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary School

Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary School

National Institute of Public

Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate

Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate

Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate

Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro) Advanced Diploma 1983 1986

Advanced Diploma
Manchester University, London

Postgraduate 1992 1994 Postgraduate Diploma

Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree
 

Nakubaliana na wewe, hoja ni kwamba kama hao unaowasema wapo 100 au 300 hawawezi kuwa na impact yoyote kwa population ya 60M tunachosema kuwe na watu hao unaosema wapo angalau 5000+ hii ya kusema top officials ambao serikali nzima ina watumishi laki 5 tu, so top levels wapo wangapi? Nimesema ningepata nafasi ya kumshauri Mama Samia ningeshauri apeleke vijana angalau 100 consistently akitegemea matokeo ndani ya miaka 30 hadi 50! Akifanya kwa miaka 20 hadi 30 lazima dilution na ujinga tulionao tutaiona! Wapo waliofanya na nchi zao zilibadilika kabisa! Kwa sasa watanzania tunaongozwa na imani tu badala ya facts, sasa kulivua hilo koti sio rahisi kufanywa na watu wanaodesa na kukariri past papers kwa umri wao wote wa kusoma.
 
Katiba mpya kwanza hizo social experiments baadae na hata hivyo Wazungu wameshaweka wazi kuwa tatizo letu IQ hafifu.
 

Bado ni kiongozi na pia background haimdefine mtu, wengi wamesoma kwa kuungaunga na wakawa wajuzi wakubwa, after all shule sio majengo au majina, shule ni namna mtu alivyojijenga personally, zamani ilikuwa muda unaokuwa library unadetremine kichwa chako so it doesnt matter umesomea wapi au umeungaunga namna gani, kikubwa na una mawe kiasi gani kichwani kwako na yamepangika namna gani! Philosophers wa zamani wote walisomea chini ya miti, na ndio waliunda principles za maisha ya binadamu hadi leo tunazisoma shule
 
Akawa Rais?????
 
Akawa great philosopher! Acha urais tu! Akina Gallileo walisomea wapi?
 
Nafasi ya Urais ni very serious position!!
Watanganyika wanaitainia na kuipeleka popote.

Sasa yamewakuta!!
 
Watanzania wakipelekwa nje ili kupata elimu na exposure huwa wanarudi kama Dokta Shika kutoka Wagner PMC😁

 
Apeleke wapi? Vijana kila mwaka wanakwenda zaidi ya 300 kusoma nje, na haijaanza leo wala jana
 
No judgement brother/sister toa hoja zako tutakuelewa! Lets be positive na jibu hoja au puuzia badala ya name calling
Wewe unaona mtu katumia akili kuandika eti mabalozi waombe makampuni ya huko nje waajiri wafanyakazi kutoka Tanzania

Kampuni huko nje inaajiri sababu unatoka Tanzania au sababu ya uwezo wako wa kazi?

Ndio maana nikasema mnaona raha kuandika ujinga?
 
Ulichoandika hapa napost yako ni vitu tofauti, post inasema watu wakasome nje wengi ili, hapa unasema haijalishi unasoma wapi
 
Huku uteuzi ni mteremko
 

Attachments

  • C8D4ACCA-44BC-4540-96C5-86E4F5FCF60A.jpeg
    47.9 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…