Ningepata nafasi ya kuwa baba ake....

Ningepata nafasi ya kuwa baba ake....

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
1,198
Reaction score
2,562
Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...

IMG_20210430_220036.jpg
Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....

Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe

Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...

Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)

Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....

Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.
 
Ndio maana hajawa mwanao
Mnavyojifanya kusakama watoto wa wenzenu utafikiri wa kwenu mnawalea vizuri mno
Watoto sio malezi tu pia kuwaombea

Unadhan wale watoto wao ni mashoga waliwalea vibaya???
 
Misingi anayo jengewa mtoto udogoni inaweza kupa picha kamili ya uwezo wa mtoto kukabiliana na ya ukubwani. Wazazi na mtindo wa maisha wa sasa hivi wamejikuta kuna mahala kimalezi wamelega na hata kufikia kulelewa watoto. Hao wanao lea hujui wanapanda mbengu gani kwani mtoto, na hiyo mbegu ikikua ndio unamuona mtoto,.kama ni mbegu nzuri mtoto anakuwa mzuri na kama ni mbegu mbaya mtoto mbaya. Watoto wakabiziwa mikononi mwa Mungu, na kuwalea katika Misingi mizuri ya wazazi wetu walio lelewa nao wakaja kutulea na.hadi leo tumefikia hapa. Shida tunadhalau malezi ya wazazi wetu na kuita ya kishamba
 
Ahsante mkuu uzi mzima umeubeba na naukupa Rasmi uwaambie
 
Wanao kuponda mleta uzi ni wazaz irresponsible design ya uwoya au wameshakataa tamaa ya kuwalea watoto wao au hawana maarifa sahihi ya kulea kwakifupi ni wazaz kwa bahati mbayabjust because they can conceive...ndio maana wanakimbilia Sijui kuwaombea watoto wakat themselves hawa do their part..Pumbavu kabisa hawa akina Dinazarde
 
Muonekano na matendo ni vitu viwili tofauti, muache dogo ale maisha. Kuishi maisha magumu siyo sifa.
 
Sawa boss na wako uwalee kama huyo sawa eeee
Kama kawaida ilimradi mtu afurahie maisha. Kula Dread za kutosha ,somesha shule za maana. Holiday peleka Dubai, america china nk. Nunulia gari kali la kutembelea akifikisha umri wa kupata leseni. Akimaliza chuo kabizi baadhi ya biashara asimamie nk.
 
Mkuu ni ndoto au unasimulia filamu
 
Mkuu ubaba hapo upo wapi?
Nadhan katika ku impose na ku insist proper parenting principles kwa mtoto au kwa case study hii ubaba au apply ku restore proper impression kwa huyu mtoto as an african boy/boy for his own security.Ndio ubaba nadhan alio jaribuvkuu disclose hapo
 
Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...

View attachment 1769455Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....

Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe

Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...

Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)

Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....

Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.

Mimi nimekuelewa, sema wakina mama na watoto zao huwambii kitu. Kila utakachosema mama lazima aingilie kati kwahiyo inabidi uache tu. Mimi dingi wangu alikuwa sajenti pale kambi ya Abdala Twalipo Mgulani. Kwahiyo home discipline ilikuwa sio kitu cha kuuliza. Wakina mama siku hizi wanasauti kuhusu watoto kuliko sisi. Kwahiyo poa tu
 
Back
Top Bottom