Ningepata nafasi ya kuwa baba ake....

Ningepata nafasi ya kuwa baba ake....

Nadhan katika ku impose na ku insist proper parenting principles kwa mtoto au kwa case study hii ubaba au apply ku restore proper impression kwa huyu mtoto as an african boy/boy for his own security.Ndio ubaba nadhan alio jaribuvkuu disclose hapo
Okay. Asante Mkuu.
 
Okay. Asante Mkuu.
Sure.Unajua Karucee tukubali tukatae, the role model wa mtoto wa kiume ni baba na sio mama hata kama boys ni watoto vipenz kwa mama zao (the viceversa is the fact).
Kuna kitabu kimoja kinaitwa Family, Psychology & Parenting mwandishi simkumbuki, ila katika hili alisisitiza sana , for single parent family hasa kama mama ndio mlezi wa watoto, anapaswaa kumu associate mtoto wa kiume with uncles au a grand father kama baba hayupo around...Impact yake ni kubwa
 
I do understand honey. I really do. Lakini kuwa a single mother in this forum is almost equal to being a lesser human being.

Single mothers wapo tangu karne zilizopita na sio laana wala kosa. Family setting iliruhusu like pengo la baba kujanzwa na ndugu wengine wakiwemo kaka wakubwa, wajomba, kina Babu, baba wadogo na wakubwa. Na ndio maana kuliwa na wife inheritance for the protection of the family a deceased man left behind!

Sijakataa hata kidogo.

Ile thread ingine ingekuwa na funzo kubwa ya ku encourage members kuwa involved katika maisha ya watoto ambao wazazi wao ni single( whether single Mom or Dad) na kujaribu kuwa Father/Mother figures. But contrary to that umeishia kuwa athread ya kumuattack yule mtoto na kumsema mambo ya ajabu sana ambayo yametufungua macho kwamba jamii yetu inazungukwa na pedophiles wengi na inatisha.

Mwanamme mwenye akili timamu, a father figure hawezi kuja na kuanza kumsifia mtoto mdogo kwa jambo ambalo hana control nalo-his mothers genes! It is very absurd.
 
True..ulimwengu na walimwengu na nadhan sometimes too much concerns inaweza ikaku blind ukashindwa kuwasilisha mawazo au mtazamo wako sawasawa ingawa deep down u really r concerned with dat kid's affair ..plus backrground za watu basi husababisha yote haya..
 
When it comes to kids and destitute people I am truly blind.
 
Nadhan katika ku impose na ku insist proper parenting principles kwa mtoto au kwa case study hii ubaba au apply ku restore proper impression kwa huyu mtoto as an african boy/boy for his own security.Ndio ubaba nadhan alio jaribuvkuu disclose hapo
Jibu zuri
 
jumapili siku ya usafi? huyo mtoto si mkristo huyo? Hata kanisani hataruhusiwa kwenda?......
 
I do understand honey. I really do. Lakini kuwa a single mother in this forum is almost equal to being a lesser human being.

Single mothers wapo tangu karne zilizopita na sio laana wala kosa. Family setting iliruhusu like pengo la baba kujanzwa na ndugu wengine wakiwemo kaka wakubwa, wajomba, kina Babu, baba wadogo na wakubwa. Na ndio maana kuliwa na wife inheritance for the protection of the family a deceased man left behind!

Sijakataa hata kidogo.

Ile thread ingine ingekuwa na funzo kubwa ya ku encourage members kuwa involved katika maisha ya watoto ambao wazazi wao ni single( whether single Mom or Dad) na kujaribu kuwa Father/Mother figures. But contrary to that umeishia kuwa athread ya kumuattack yule mtoto na kumsema mambo ya ajabu sana ambayo yametufungua macho kwamba jamii yetu inazungukwa na pedophiles wengi na inatisha.

Mwanamme mwenye akili timamu, a father figure hawezi kuja na kuanza kumsifia mtoto mdogo kwa jambo ambalo hana control nalo-his mothers genes! It is very absurd.
Karucee nikweli kwamba uwoya hajui anachokifanya???
 
Zaa wako mlee unavyotaka.
Mailman ifike hatua mtoto wa kiume awe na muonekano ana awe treated kiume vinginevyo tukubaliane na sheria zote za misaada..... PAULA nae watu walionya mkawaona wabaya kiko wapi
 
Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...

View attachment 1769455Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....

Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe

Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...

Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)

Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....

Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.
Kwani yeye mwenyewe anasemaje!!
 
Sure.Unajua Karucee tukubali tukatae, the role model wa mtoto wa kiume ni baba na sio mama hata kama boys ni watoto vipenz kwa mama zao (the viceversa is the fact).
Kuna kitabu kimoja kinaitwa Family, Psychology & Parenting mwandishi simkumbuki, ila katika hili alisisitiza sana , for single parent family hasa kama mama ndio mlezi wa watoto, anapaswaa kumu associate mtoto wa kiume with uncles au a grand father kama baba hayupo around...Impact yake ni kubwa
Uwoya ana mua associate Huyo mwanae na loydmich,iceboyafrica[emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...

View attachment 1769455Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....

Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe

Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...

Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)

Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....

Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.
Dogo kaanza kulegea mapema sana
 
Back
Top Bottom