Sawa miaka 10 badae mje humu kusema alikosea hakumuombea mwanaeNdio maana hajawa mwanao
Mnavyojifanya kusakama watoto wa wenzenu utafikiri wa kwenu mnawalea vizuri mno
Watoto sio malezi tu pia kuwaombea
Unadhan wale watoto wao ni mashoga waliwalea vibaya???
Misingi anayo jengewa mtoto udogoni inaweza kupa picha kamili ya uwezo wa mtoto kukabiliana na ya ukubwani. Wazazi na mtindo wa maisha wa sasa hivi wamejikuta kuna mahala kimalezi wamelega na hata kufikia kulelewa watoto. Hao wanao lea hujui wanapanda mbengu gani kwani mtoto, na hiyo mbegu ikikua ndio unamuona mtoto,.kama ni mbegu nzuri mtoto anakuwa mzuri na kama ni mbegu mbaya mtoto mbaya. Watoto wakabiziwa mikononi mwa Mungu, na kuwalea katika Misingi mizuri ya wazazi wetu walio lelewa nao wakaja kutulea na.hadi leo tumefikia hapa. Shida tunadhalau malezi ya wazazi wetu na kuita ya kishambaNdio maana hajawa mwanao
Mnavyojifanya kusakama watoto wa wenzenu utafikiri wa kwenu mnawalea vizuri mno
Watoto sio malezi tu pia kuwaombea
Unadhan wale watoto wao ni mashoga waliwalea vibaya???
Ahsante mkuu uzi mzima umeubeba na naukupa Rasmi uwaambieMisingi anayo jengewa mtoto udogoni inaweza kupa picha kamili ya uwezo wa mtoto kukabiliana na ya ukubwani. Wazazi na mtindo wa maisha wa sasa hivi wamejikuta kuna mahala kimalezi wamelega na hata kufikia kulelewa watoto. Hao wanao lea hujui wanapanda mbengu gani kwani mtoto, na hiyo mbegu ikikua ndio unamuona mtoto,.kama ni mbegu nzuri mtoto anakuwa mzuri na kama ni mbegu mbaya mtoto mbaya. Watoto wakabiziwa mikononi mwa Mungu, na kuwalea katika Misingi mizuri ya wazazi wetu walio lelewa nao wakaja kutulea na.hadi leo tumefikia hapa. Shida tunadhalau malezi ya wazazi wetu na kuita ya kishamba
Kama kawaida ilimradi mtu afurahie maisha. Kula Dread za kutosha ,somesha shule za maana. Holiday peleka Dubai, america china nk. Nunulia gari kali la kutembelea akifikisha umri wa kupata leseni. Akimaliza chuo kabizi baadhi ya biashara asimamie nk.Sawa boss na wako uwalee kama huyo sawa eeee
Mkuu ni ndoto au unasimulia filamuKama kawaida ilimradi mtu afurahie maisha. Kula Dread za kutosha ,somesha shule za maana. Holiday peleka Dubai, america china nk. Nunulia gari kali la kutembelea akifikisha umri wa kupata leseni. Akimaliza chuo kabizi baadhi ya biashara asimamie nk.
Nadhan katika ku impose na ku insist proper parenting principles kwa mtoto au kwa case study hii ubaba au apply ku restore proper impression kwa huyu mtoto as an african boy/boy for his own security.Ndio ubaba nadhan alio jaribuvkuu disclose hapoMkuu ubaba hapo upo wapi?
Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...
View attachment 1769455Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....
Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe
Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...
Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)
Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....
Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.