Okay. Asante Mkuu.Nadhan katika ku impose na ku insist proper parenting principles kwa mtoto au kwa case study hii ubaba au apply ku restore proper impression kwa huyu mtoto as an african boy/boy for his own security.Ndio ubaba nadhan alio jaribuvkuu disclose hapo
Sure.Unajua Karucee tukubali tukatae, the role model wa mtoto wa kiume ni baba na sio mama hata kama boys ni watoto vipenz kwa mama zao (the viceversa is the fact).Okay. Asante Mkuu.
I do understand honey. I really do. Lakini kuwa a single mother in this forum is almost equal to being a lesser human being.Sure.Unajua Karucee tukubali tukatae, the role model wa mtoto wa kiume ni baba na sio mama hata kama boys ni watoto vipenz kwa mama zao (the viceversa is the fact).
Kuna kitabu kimoja kinaitwa Family, Psychology & Parenting mwandishi simkumbuki, ila katika hili alisisitiza sana , for single parent family hasa kama mama ndio mlezi wa watoto, anapaswaa kumu associate mtoto wa kiume with uncles au a grand father kama baba hayupo around...Impact yake ni kubwa
True..ulimwengu na walimwengu na nadhan sometimes too much concerns inaweza ikaku blind ukashindwa kuwasilisha mawazo au mtazamo wako sawasawa ingawa deep down u really r concerned with dat kid's affair ..plus backrground za watu basi husababisha yote haya..I do understand honey. I really do. Lakini kuwa a single mother in this forum is almost equal to being a lesser human being.
Single mothers wapo tangu karne zilizopita na sio laana wala kosa. Family setting iliruhusu like pengo la baba kujanzwa na ndugu wengine wakiwemo kaka wakubwa, wajomba, kina Babu, baba wadogo na wakubwa. Na ndio maana kuliwa na wife inheritance for the protection of the family a deceased man left behind!
Sijakataa hata kidogo.
Ile thread ingine ingekuwa na funzo kubwa ya ku encourage members kuwa involved katika maisha ya watoto ambao wazazi wao ni single( whether single Mom or Dad) na kujaribu kuwa Father/Mother figures. But contrary to that umeishia kuwa athread ya kumuattack yule mtoto na kumsema mambo ya ajabu sana ambayo yametufungua macho kwamba jamii yetu inazungukwa na pedophiles wengi na inatisha.
Mwanamme mwenye akili timamu, a father figure hawezi kuja na kuanza kumsifia mtoto mdogo kwa jambo ambalo hana control nalo-his mothers genes! It is very absurd.
When it comes to kids and destitute people I am truly blind.True..ulimwengu na walimwengu na nadhan sometimes too much concerns inaweza ikaku blind ukashindwa kuwasilisha mawazo au mtazamo wako sawasawa ingawa deep down u really r concerned with dat kid's affair ..plus backrground za watu basi husababisha yote haya..
Noo..Am not talking abt u specifically..ni general overview tu hata ukipitia comments za wengi utaona hiloWhen it comes to kids and destitute people I am truly blind.
Oh. I get it now.Noo..Am not talking abt u specifically..ni general overview tu hata ukipitia comments za wengi utaona hilo
Jibu zuriNadhan katika ku impose na ku insist proper parenting principles kwa mtoto au kwa case study hii ubaba au apply ku restore proper impression kwa huyu mtoto as an african boy/boy for his own security.Ndio ubaba nadhan alio jaribuvkuu disclose hapo
Karucee nikweli kwamba uwoya hajui anachokifanya???I do understand honey. I really do. Lakini kuwa a single mother in this forum is almost equal to being a lesser human being.
Single mothers wapo tangu karne zilizopita na sio laana wala kosa. Family setting iliruhusu like pengo la baba kujanzwa na ndugu wengine wakiwemo kaka wakubwa, wajomba, kina Babu, baba wadogo na wakubwa. Na ndio maana kuliwa na wife inheritance for the protection of the family a deceased man left behind!
Sijakataa hata kidogo.
Ile thread ingine ingekuwa na funzo kubwa ya ku encourage members kuwa involved katika maisha ya watoto ambao wazazi wao ni single( whether single Mom or Dad) na kujaribu kuwa Father/Mother figures. But contrary to that umeishia kuwa athread ya kumuattack yule mtoto na kumsema mambo ya ajabu sana ambayo yametufungua macho kwamba jamii yetu inazungukwa na pedophiles wengi na inatisha.
Mwanamme mwenye akili timamu, a father figure hawezi kuja na kuanza kumsifia mtoto mdogo kwa jambo ambalo hana control nalo-his mothers genes! It is very absurd.
Kwani yeye mwenyewe anasemaje!!Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...
View attachment 1769455Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....
Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe
Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...
Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)
Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....
Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.
Uwoya ana mua associate Huyo mwanae na loydmich,iceboyafrica[emoji1787]Sure.Unajua Karucee tukubali tukatae, the role model wa mtoto wa kiume ni baba na sio mama hata kama boys ni watoto vipenz kwa mama zao (the viceversa is the fact).
Kuna kitabu kimoja kinaitwa Family, Psychology & Parenting mwandishi simkumbuki, ila katika hili alisisitiza sana , for single parent family hasa kama mama ndio mlezi wa watoto, anapaswaa kumu associate mtoto wa kiume with uncles au a grand father kama baba hayupo around...Impact yake ni kubwa
Dogo kaanza kulegea mapema sanaKwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...
View attachment 1769455Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....
Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe
Asingejihusisha na mitandao, kuangalia katuni wala muvi... Tv ni sa mbili muda wa taarifa ya habari over...
Kila siku angetembea au kukimbia 1km (nikimuonea hurua ntamnunulia baiskeli na ataendesha 3km isipokua jpili tu)
Jpili ni siku ya usafiii.... Na kujiandaa na hekaheka za kesho na wiki nzima....
Ratiba ingedumu kwa miezi sita alafu namkabidhi UWOYA mwanaume angali mtoto.
Na mama mtu atafurahia ataita press kujivunia mwanaeNa watamkaza ndo watanzania tufunguke macho.....