Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
1. India
2. China
3. Korea
4. Japani
5. Uingereza
Na nchi zote zinazo fanana na hizo.
kwanini ningepata tabu?
Kwa sababu maumbo ya warembo wa mataifa yaya siyo rafiki kabisa na machaguo yangu linapokuja suala la mapenzi.
Ningempata wapi mwanamke mnene na mweusi kwenye mataifa haya!
Ningeteseka sana, au hata ningesema mweusi nimekosa nipate mnene tu, bado ningepata mnene ambae tako na mgongo vipo katika usawa mmoja (flat)
Ah mungu kama upo nakushukuru sana kuniumba muafrika.