Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
😂😂😂 nilikuwa najiuliza sana kwanini inasemwa wazungu hawapendi wanawake mitukunyema kama sisi, jibu nikaja kulipata siku moja wakati nime relax kabisa.Taklo la mgongo 😂
Mi sisemi kitu mkuu 😂😂😂😂 nilikuwa najiuliza sana kwanini inasemwa wazungu hawapendi wanawake mitukunyema kama sisi, jibu nikaja kulipata siku moja wakati nime relax kabisa.
Nilikuwa katika fukwe za bahari ukatokea bonge la mshangazi wa kizungu, alikuwa kavaa Taiti tu, hipsi zote zilikuwa zinatetemeka akitembea, watu ambao tulikuwepo hapo tuliacha vya kufanya kwa muda mchache kumtazama akija upande wetu, alivyo tupita sasa kha! Nilitamani kutema mate, yaani nyuma hakuna kitu kabisa ni kama ubao tu umesimamishwa.
Nikasema ahaa kumbe ndio maana wazungu wanajifanyishaga hawapendi wanawake wanene..!
Kwanini sasa!Mi sisemi kitu mkuu 😂
Mkuu unapenda kunihusia juu ya hili lakini huu ni ugonjwa wangu, ni kama kilema tu.Msiutukuze unene.
Usipoupenda wewe wenzako wanaupenda mkuuMsiutukuze unene.
Kwenye suala la mapenzi/ngono wanaume wa afrika tupo katika bahari ya neema mkuu.Zingatia unyevunyevu tu vingine vya ziada mkuu....
Ila mwanamke mweusi tii awe kajazia kiasi na awe mrefu wa kati Eeee Bwana unipe nini kingine