O Official_One New Member Joined Feb 23, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Feb 24, 2023 #1 Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?
Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?