muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
- Thread starter
- #41
Ni suala la uchaguzi tu ndugu yangu. Kuna mwingine ataona ni gharama lakini kumbe anatumia gharama kubwa kwenye mambo mengine ambayo hayana msingi.Aina nyingine ya "MIKOPO KAUSHA DAMU"
Kama kipato chako Cha wastani chamoto utakiona for another 4 coming years
Kiufupi, elimu kwa watoto wangu haina discussion. Kwa hiyo kwangu hii siyo "Mikopo kausha damu"!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app