muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
- Thread starter
-
- #41
Ni suala la uchaguzi tu ndugu yangu. Kuna mwingine ataona ni gharama lakini kumbe anatumia gharama kubwa kwenye mambo mengine ambayo hayana msingi.Aina nyingine ya "MIKOPO KAUSHA DAMU"
Kama kipato chako Cha wastani chamoto utakiona for another 4 coming years
Nimependa attitude yako.Ni suala la uchaguzi tu ndugu yangu. Kuna mwingine ataona ni gharama lakini kumbe anatumia gharama kubwa kwenye mambo mengine ambayo hayana msingi.
Kiufupi, elimu kwa watoto wangu haina discussion. Kwa hiyo kwangu hii siyo "Mikopo kausha damu"!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Uzuri wa hizi shule siyo ubora wa mazingira na elimu yake tu, bali pia unamwandalia mtoto wako kuwa na network nzuri sana itakayoweza kumsaidia katika career yake.Nimependa attitude yako.
Sijawa na uwezo wa kulipa ada kubwa kumsomesha mtoto ila naamini mpaka mwanangu afikie umri wa kwenda hizo shule mungu atakua kashanijalia kipato.
Nimekumbuka siku nilipompeleka mtoto wa mjomba kufanya interview ya Marian bagamoyo dah ilikua zaidi ya fiesta kwa umati wa wanafunzi na familia zao za kitajiri zikiwasindikiza kufanya mitihani ndo siku niligundua umuhimu wa kumpeleka mtoto shule kubwa make ile siku nilijikuta nipo katikati ya viongozi wakubwa na maarufu na wafanyabiashara bila kutarajia na kilichotukutanisha na interview za watoto.
Ukienda bagamoyo siku Marian wanafanya interview panakuaga tofauti sana panakuwaga kama moshi mwishoni mwa mwaka na foleni ya magari kutoka dar to bagamoyo ilikua kubwa.
Mazinde kuna mdada namjua katoka pale mwaka jana f6, now yuko Kairuki.Hata mm nilitaka kujua St. Francis, marian, mazinde
Uko sahihi.Ni suala la uchaguzi tu ndugu yangu. Kuna mwingine ataona ni gharama lakini kumbe anatumia gharama kubwa kwenye mambo mengine ambayo hayana msingi.
Kiufupi, elimu kwa watoto wangu haina discussion. Kwa hiyo kwangu hii siyo "Mikopo kausha damu"!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Wengine hawashauri Mazinde Juu kwa O Level.Mazinde kuna mdada namjua katoka pale mwaka jana f6, now yuko Kairuki.
Alinambia ni Mil 8 kwa mwaka.
St. Francis ni bora zaidi, ila inabidi kumwandaa mtoto vizuri.Hata mm nilitaka kujua St. Francis, marian, mazinde
Kumbe wanataka O level?Wengine hawashauri Mazinde Juu kwa O Level.
Bright future,Canossa,Mazinde juu shule zangu pendwamuuza mkuu salaam. Vipi feedback ilikuaje. Wengine tupo zkwa struggle kama yako tafadhari tujuze ilikuaje. Vipi Ada kama ulipata taarifa kwa Precious blood, St Monica, Canossa, Mazinde Juu, Bright Future, Anwarite.
Hellow Ram..precious blood form zao zinatoka kuanzia miezi gani?Nina uzoefu na shule mbili tu hapo, Precious blood na Mazinde juu tu
Hello Ma, Precious Blood bado hawana A level, form za kujiunga kidato cha kwanza huwa zinaanza kutoka mwezi July......mara nyingi zinapatika shuleni, so inabidi uwe na mtu Arusha anaenda kukuchulia (kama hauishi Arusha), Angalizo hakikisha mwanao anajua hesabu kiasi chake, ndio somo la kwanza wanaloangalia ufaulu wake katika selctionHellow Ram..precious blood form zao zinatoka kuanzia miezi gani?
Million 8 kwa mwaka? Nimesomesha binti yangu mazinde (PCB), sijawahi kulipa M8.... Ada kama ada mazinde ni 4M+, ukiweka na makolokolo mengine inaweza kufika 6M hivi. Wanaosoma sayansi ada yao ndio iko juu, anyways siwezi jua, labda kwa miaka hii miwili mitatu itakuwa imeongezekaMazinde kuna mdada namjua katoka pale mwaka jana f6, now yuko Kairuki.
Alinambia ni Mil 8 kwa mwaka.
Thanx ma for reply...Hello Ma, Precious Blood bado hawana A level, form za kujiunga kidato cha kwanza huwa zinaanza kutoka mwezi July......mara nyingi zinapatika shuleni, so inabidi uwe na mtu Arusha anaenda kukuchulia (kama hauishi Arusha), Angalizo hakikisha mwanao anajua hesabu kiasi chake, ndio somo la kwanza wanaloangalia ufaulu wake katika selction
Wewe uliyekuja jibu swali basiWanakuja
Ni sawa kabisa ada za shule katolìki.....ni fair mnoo mnoo mnoo...haizidi 4m ...ukitoa vikorokoro vingine....Million 8 kwa mwaka? Nimesomesha binti yangu mazinde (PCB), sijawahi kulipa M8.... Ada kama ada mazinde ni 4M+, ukiweka na makolokolo mengine inaweza kufika 6M hivi. Wanaosoma sayansi ada yao ndio iko juu, anyways siwezi jua, labda kwa miaka hii miwili mitatu itakuwa imeongezeka