Ningependa kukaa hapa na glass ya wine

Ningependa kukaa hapa na glass ya wine

Sasa yote ili iweje? Ili na ww uonekane mwamba
 
Yani ukae juu ya jiwe hizi adventure zingine mtakuja mfe! Uache kukaa kwako ukae juu ya jiwe sehemu ya hovyo namna hio[emoji28].

Haya mambo wenzetu wana guts ya kuyafanya sababu hata wakifa watoto watalelewa na serikali tena kwa mazingira bora kuliko hata wao!

Unateseka na tozo na kuhangaikia kulisha familia hilo wazo litatoka wapi aisee[emoji13]

Wewe huyu unajua alipo?
 
Back
Top Bottom