Ningependa kuona..............

Ningependa kuona..............

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Mwalimu wa secondary au chuo anapewa laptop.

bundle atanunua mwenyewe,😀😉

ili wakae up to date na masomo wanayofundisha,

sio kufundisha kwa syllabus ya mwaka 47,

walimu wakiwa na laptop,wakajua ulimwengu unavyokwenda,wataweza kushauri nini kibadilishwe kwenye syllabus,na kushauri nini kiongezwe ama kipunguzwe kwenye masomo so that shule iibuwe wasomi competent wanaoenda na wakati atii....
 
Waongezewe mshahara wapate na motisha ya kufundisha
 
Mwalimu wa secondary au chuo anapewa laptop.

bundle atanunua mwenyewe,😀😉

ili wakae up to date na masomo wanayofundisha,

sio kufundisha kwa syllabus ya mwaka 47,

walimu wakiwa na laptop,wakajua ulimwengu unavyokwenda,wataweza kushauri nini kibadilishwe kwenye syllabus,na kushauri nini kiongezwe ama kipunguzwe kwenye masomo so that shule iibuwe wasomi competent wanaoenda na wakati atii....
Kwahiyo Mwalimu anashindwa kujinunulia Laptop mpaka anunuliwe na Serikali ??
 
labda wangapi wanazo?tuanzie hapo...............

huoni hii itawapa motisha wakijua serikali iko behind them...........
 
Mimi si Mwalimu kitaaluma ila nimefundisha shule nyingi na nimewaona walimu wengi kwao suala la kiteknolojia au kwenda na ulimwengu bado wako nyuma sana. Hata suala la mwalimu kujisomea tu na kuongeza maarifa kwenye somo lake la kufundishia ni mpaka ashikiwe bastola. Walimu wengi wameshafanya malalamiko kuwa sehemu ya maisha yao utafikiri nchi hii walimu ndio watumishi pekee. Mimi kuna maaskari ninao wafahamu wameanza kazi na mishahara ya Tsh 119,000 + 100,000 ( ration ) lakini huwezi huwezi kuwasikia wakilalamika. Sekta ya afya tangu 2015 wako mitaani hawajaariwa wako kimya tu lakini walimu utafikiri wana laana fulani mpaka huwa nashangaa.
 
Hao hawajitambui kabisa, acha wapambane na hali zao.
 
mkuu hapo nilipo bold,uko vizuri sana,

ndio maana hii topic imelenga kuikumbusha serikali kua inalala mno kwenye swala la elimu.intervention inahitajika kama tunataka graduates ambao ni competent kwenye ajira,both ndani na nje.
 
Tatizo la kauli za 'Hawajitambui' na lenyewe linatumika kisiasa. Kama walimu wanafikiri wanasiasa watawamalizia matatizo yao watasubiri MILELE
 
mkuu hapo nilipo bold,uko vizuri sana,

ndio maana hii topic imelenga kuikumbusha serikali kua inalala mno kwenye swala la elimu.intervention inahitajika kama tunataka graduates ambao ni competent kwenye ajira,both ndani na nje.
Kwa hilo utasubiri mpaka KIAMA
 
Mwalimu wa secondary au chuo anapewa laptop.

bundle atanunua mwenyewe,😀😉

ili wakae up to date na masomo wanayofundisha,

sio kufundisha kwa syllabus ya mwaka 47,

walimu wakiwa na laptop,wakajua ulimwengu unavyokwenda,wataweza kushauri nini kibadilishwe kwenye syllabus,na kushauri nini kiongezwe ama kipunguzwe kwenye masomo so that shule iibuwe wasomi competent wanaoenda na wakati atii....

Mkuu unataka waanze kushinda kwenye mitandao wanatafuta ubuyu badala ya kuji-update na masomo.
 
Mfumo mbovu sana, hauruhusu akili za watu kufanya kazi ipasavyo.
Siyo mfumo mbovu. Maisha bado ni RAHISI watu wanalalamika tu lakini bado yanaenda. Subiri idadi ya watu iongozeke, Graduates waongezeke, Ardhi ibaki ile ile - Utaona kama watu hawataamka kupigania maisha yao binafsi. Watu wanawategemea wanasiasa ambao na wao wako busy kujenga uchumi wao binafsi
 
Back
Top Bottom