Kama ni kutamani tu tutamani lakini kiuhalisia timu nyingi mlizoziorodhesha zilimilikiwa na mashirika ambayo sera hizo hazipo tena inakuwa ngumu kurudi nyingine wafadhili wake waliziacha ama kuziuza kama kajumulo nadhani ikaja kuwa moro united na kuendelea pallson kama hivyo tena askofu pia tiger ya tunduma khabari zake zinajulikana.
Mpira unataka uwekezaji mkubwa sana inabidi tuendelee tu kutamani katika timu zilizokuwepo zamani nadhani iliyorudi ni mwadui nyingine hata makaburi yake hatujui yapo yapi mleta mada umenikumbusha zamani.