Ningetamani kuziona tena timu hizi Ligi Kuu Tanzania

Ningetamani kuziona tena timu hizi Ligi Kuu Tanzania

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kajumulo fc/Dar es salaam
Reli fc/morogoro
Tukuyu stars
Lipuli/Iringa
Moro United/morogoro
Nazareti/njombe
Bandari/mtwara
Kariakoo/lindi

Wewe kama Mdau wa mpira wa Miguu ungependa kuziona timu zipi zikirudi tena Ligi kuu Tanzania?
 
Pamba-mwanza
Reli-morogoro
Lipuli-iringa
Ushirika-moshi
Cda-dodoma
Waziri mkuu-dodoma
Tukuyu stars-mbeya
Shinyanga shooting stars-shinyanga.
Afc-arusha
 
Kama ni kutamani tu tutamani lakini kiuhalisia timu nyingi mlizoziorodhesha zilimilikiwa na mashirika ambayo sera hizo hazipo tena inakuwa ngumu kurudi nyingine wafadhili wake waliziacha ama kuziuza kama kajumulo nadhani ikaja kuwa moro united na kuendelea pallson kama hivyo tena askofu pia tiger ya tunduma khabari zake zinajulikana.
Mpira unataka uwekezaji mkubwa sana inabidi tuendelee tu kutamani katika timu zilizokuwepo zamani nadhani iliyorudi ni mwadui nyingine hata makaburi yake hatujui yapo yapi mleta mada umenikumbusha zamani.
 
Ushirika Moshi na Pamba-Tp lindanda wana kawekamo mechi baina yao zilikuwa na hadhi ya el classico.
 
Tumbaku ya Morogoro.
Mseto ya Morogoro.
 
Ilicheza premier league mwaka gani?
Timu hiyo ambayo imewahi kushiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara katika msimu wa 2006 na baadaye kushuka daraja imekuwa katika jitihada za kutaka kurejea Ligi Kuu ya Tanzania Bara bila mafanikio kwa kipindi chote.
 
Back
Top Bottom