Ningetamani kuziona tena timu hizi Ligi Kuu Tanzania

Ningetamani kuziona tena timu hizi Ligi Kuu Tanzania

mmenikumbusha mbali sana hii timu kambi yake ipo nyuma ya uwanja wa sabasaba
yapo majengo yamejengwa vizuri ila timu hakuna
roho inaniumaga sana juu ya timu hii
Nliacha uwanja unatengenezwa ule cha Ajabu Makambako wana uwanja mzuri kuliko Njombe.

Njombe Mji Vipi walikua ligi daraja La kwanza walipigiwa promo sana na Radio za Njombe hata kama Una Maharage Peleka
 
Kitu MECCO ya mbeya pumzi mwanzo mwisho,,
Simba na Yanga ilikuwa wakipambapa na hii timu walikuwa wanalala na viatu mguuni wiki.
 
Nliacha uwanja unatengenezwa ule cha Ajabu Makambako wana uwanja mzuri kuliko Njombe.

Njombe Mji Vipi walikua ligi daraja La kwanza walipigiwa promo sana na Radio za Njombe hata kama Una Maharage Peleka
Uplands Fm hii redio ipo mtaa mmoja na kwa bibi sijamtembelea mwaka wa tano sijui yanayoendelea ila timu yetu hii
 
Walikua kama stoke city nini wazee wa bebabeba
hii timu ya kijiweni Mtaa wa Congo ambayo ilishiriki ligi kuu Tanzania Bara na kuwa tishio kwa kupiga mpira na buti. Yanga walikua wanapata wakati mgumu sana Wakikutana na Timu hii
 
Tumbaku FC - Morogoro
CDA
RTC Kigoma
RTC Kagera
Asante Tololo
Nyota Nyekundu
Pilsner Arusha
Ushirika
Mseto Morogoro
Mecco Mbeya
Tukuyu stars
 
Tumbaku FC - Morogoro
CDA
RTC Kigoma
RTC Kagera
Asante Tololo
Nyota Nyekundu
Pilsner Arusha
Ushirika
Mseto Morogoro
Mecco Mbeya
Tukuyu stars
Pilsner ilikuwa Dar na Ndovu ndio Arusha ile ya marehemu James Kisaka
 
Biashara Shinyinga
RTC Mwanza
RTC Kagera
RTC Kigoma
Ndovu Arusha
Zimani Moto Songea
 
Back
Top Bottom