bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
- Thread starter
- #41
Nliacha uwanja unatengenezwa ule cha Ajabu Makambako wana uwanja mzuri kuliko Njombe.mmenikumbusha mbali sana hii timu kambi yake ipo nyuma ya uwanja wa sabasaba
yapo majengo yamejengwa vizuri ila timu hakuna
roho inaniumaga sana juu ya timu hii
Njombe Mji Vipi walikua ligi daraja La kwanza walipigiwa promo sana na Radio za Njombe hata kama Una Maharage Peleka