Ningetamani kuziona tena timu hizi Ligi Kuu Tanzania

Pilsner na nyota nyekundu hawa Nyota nyekundu walikua wakipiga sana buti...
 
Ushirika Moshi na Pamba-Tp lindanda wana kawekamo mechi baina yao zilikuwa na hadhi ya el classico.
Nakubaliana na wewe kabisa, nilishawahi kuwashuhudia mipira yao pale CCM Kirumba Mwanza, mechi zao zilikuwa tamu siku zote!!
 
Nakubaliana na wewe kabisa, nilishawahi kuwashuhudia mipira yao pale CCM Kirumba Mwanza, mechi zao zilikuwa tamu siku zote!!
Mkoa wa kilimanjaro karibia Nusu karne hauna timu ligi kuu

Nyerere fc Panone fc sijui wako wapii
 
Mkoa wa kilimanjaro karibia Nusu karne hauna timu ligi kuu

Nyerere fc Panone fc sijui wako wapii
Mawazo yao yote yako kwenye kutengeneza pesa tu, cha ajabu wachezaji wengi wachaga wako nje ya Kilimanjaro
 
Rhino ranges - Tabora.
walipotea na rhinoceros wetu nao wakapotea.
Hawa c wanajeshi kama sikosei Nurdin Bakari Kacheza pale

Msimu mmoja wamepanda ligi kuu Msimu unaofwata Wakashuka.
 
Mawazo yao yote yako kwenye kutengeneza pesa tu, cha ajabu wachezaji wengi wachaga wako nje ya Kilimanjaro
Ila kuna watu wanapenda sana mpira klm sema tu tumekosa timu imara...
 
Mkoa wa Mbeya Ulikua na Timu Nyingi sana

Mbozi United,Tukuyu stars,
Mbozi United ndo Tiger ya Tunduma.

Baada ya Malisa aliyekuwa Customs pale Tunduma border kuhamishiwa Dodoma baada ya kashfa ya ufisadi, timu ya Tiger ikapoteza mwelekeo. Halmashauri ya Wilaya ikaichukua, ikaihamishia Vwawa (Makao Makuu ya Wilaya) na kuibadili jina kuwa Mbozi United. Haikudumu sana uendeshaji timu ukawashinda ikachukuliwa na JWTZ na kuhamishiwa Mbalizi kama 44 KJ Karume Rangers. Haikudumu pia. Ikapotea kwenye ramani.
 
Asante mkuu.
 
Nimefika Mitaa Ya Nazareth Pale Pako vizuri Mkuu Pamejengeka Vizuri sana
mmenikumbusha mbali sana hii timu kambi yake ipo nyuma ya uwanja wa sabasaba
yapo majengo yamejengwa vizuri ila timu hakuna
roho inaniumaga sana juu ya timu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…