Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Duh! enzi za kina mnyepe hizo sio mchezoTumbaku ya Morogoro.
Mseto ya Morogoro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! enzi za kina mnyepe hizo sio mchezoTumbaku ya Morogoro.
Mseto ya Morogoro.
Nakubaliana na wewe kabisa, nilishawahi kuwashuhudia mipira yao pale CCM Kirumba Mwanza, mechi zao zilikuwa tamu siku zote!!Ushirika Moshi na Pamba-Tp lindanda wana kawekamo mechi baina yao zilikuwa na hadhi ya el classico.
Hawawezi. Father Mwajombe walimhamisha na timu ikajifia.Nazareth watoto wa baba paroko, sizani kama watarudi tena
Mawazo yao yote yako kwenye kutengeneza pesa tu, cha ajabu wachezaji wengi wachaga wako nje ya KilimanjaroMkoa wa kilimanjaro karibia Nusu karne hauna timu ligi kuu
Nyerere fc Panone fc sijui wako wapii
Watu wabaya, badala ya kumwacha wakamtoa...Hawawezi. Father Mwajombe walimhamisha na timu ikajifia.
Mbozi United ndo Tiger ya Tunduma.Mkoa wa Mbeya Ulikua na Timu Nyingi sana
Mbozi United,Tukuyu stars,
Asante mkuu.Mbozi United ndo Tiger ya Tunduma.
Baada ya Malisa aliyekuwa Customs pale Tunduma border kuhamishiwa Dodoma baada ya kashfa ya ufisadi, timu ya Tiger ikapoteza mwelekeo. Halmashauri ya Wilaya ikaichukua, ikaihamishia Vwawa (Makao Makuu ya Wilaya) na kuibadili jina kuwa Mbozi United. Haikudumu sana uendeshaji timu ukawashinda ikachukuliwa na JWTZ na kuhamishiwa Mbalizi kama 44 KJ Karume Rangers. Haikudumu pia. Ikapotea kwenye ramani.
Wachezaji naamini wapo, nadhan mifumo ya kuendesha timu za soka za Klm ni changamotoIla kuna watu wanapenda sana mpira klm sema tu tumekosa timu imara...
mmenikumbusha mbali sana hii timu kambi yake ipo nyuma ya uwanja wa sabasabaNimefika Mitaa Ya Nazareth Pale Pako vizuri Mkuu Pamejengeka Vizuri sana