Nliacha uwanja unatengenezwa ule cha Ajabu Makambako wana uwanja mzuri kuliko Njombe.mmenikumbusha mbali sana hii timu kambi yake ipo nyuma ya uwanja wa sabasaba
yapo majengo yamejengwa vizuri ila timu hakuna
roho inaniumaga sana juu ya timu hii
Uplands Fm hii redio ipo mtaa mmoja na kwa bibi sijamtembelea mwaka wa tano sijui yanayoendelea ila timu yetu hiiNliacha uwanja unatengenezwa ule cha Ajabu Makambako wana uwanja mzuri kuliko Njombe.
Njombe Mji Vipi walikua ligi daraja La kwanza walipigiwa promo sana na Radio za Njombe hata kama Una Maharage Peleka
hii timu ya kijiweni Mtaa wa Congo ambayo ilishiriki ligi kuu Tanzania Bara na kuwa tishio kwa kupiga mpira na buti. Yanga walikua wanapata wakati mgumu sana Wakikutana na Timu hiiWalikua kama stoke city nini wazee wa bebabeba
Pilsner ilikuwa Dar na Ndovu ndio Arusha ile ya marehemu James KisakaTumbaku FC - Morogoro
CDA
RTC Kigoma
RTC Kagera
Asante Tololo
Nyota Nyekundu
Pilsner Arusha
Ushirika
Mseto Morogoro
Mecco Mbeya
Tukuyu stars
Reli Morogoro...Tumbaku FC - Morogoro
CDA
RTC Kigoma
RTC Kagera
Asante Tololo
Nyota Nyekundu
Pilsner Arusha
Ushirika
Mseto Morogoro
Mecco Mbeya
Tukuyu stars
1974 wakati huo ikiitwa klabu bingwa ya TanzaniaImecheza ligi kuu hii Mkuu?