Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
we unamwona mndengereko? hauoni sura ya iran kabisa ile?Kwani Zungu ni mzungu???? πππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unamwona mndengereko? hauoni sura ya iran kabisa ile?Kwani Zungu ni mzungu???? πππππππππ
Yule sio ngozi nyeupe aisee, Ile ni mwarabu reject ikawa Mpemba reject ndio umeishia kuwa mwarabu wa ilala.ila zungu kawaaibisha sana ngozi nyeupe, sio siri. nilifikiri wote huwa wa maana hadi nilikuwa natamani siku moja tujaribishe urais ngozi nyeupe hizi.
ukimwangalia ni zaidi ya mwarabu, anaonekana sura ya Waajemi (rostamz, wairan fulani fulani wale waliokuja na mashua bagamoyo kipindi kileee?)Yule sio ngozi nyeupe aisee, Ile ni mwarabu reject ikawa Mpemba reject ndio umeishia kuwa mwarabu wa ilala.
Bidii hata mwendazake alikuwa nayobsana.kufanya kazi kwa biddi hakuna option ingine
Mwarabu Koko tu atakuwa kaongezea mkorogo πukimwangalia ni zaidi ya mwarabu, anaonekana sura ya Waajemi (rostamz, wairan fulani fulani wale waliokuja na mashua bagamoyo kipindi kileee?)
watoto wake wako wapo tujue kamani koko au muhamiaji toka uajemi?Mwarabu Koko tu atakuwa kaongezea mkorogo π
Ni rahisi kuwatupia Wananchi mzigo kwa sababu hata ninyi wenye Mamlaka hamjui cha kufanya.Tatizo sisi hua kila kitu tunalalmikia serikali, we are lazy! yaaani hata swala la kua mbunifu unasema serikali iweke mazingira sasa sisi tuna faida gan? unazaliwa unasoma bure, unapewa mkopo na kazi unatafutiwa na serikali?
IKwani sisi gesi hatuna? Nilicho sema kwenye jibu langu la msingi Ni kwamba hawana resources nyingi Kama sisi,Kama wao wameweza kuuza nchi za ulaya je sisi tumeshindwa vipi kuziuzia nchi za ulaya Kama wao?
Mkuu umegusia suala la Neo-colonialism moja ya njia ya wazungu kuweka mfumo huo wa ukoloni maomboleo ni kutumia wawekezaji Sasa katika jibu lako la msingi umegusia suala la wawekezaji je,hapa unawalenga wawekezaji gani kutoka nje au wa ndani?ninachokubaliana na wewe ni hoja ya "leadership", cha pili, ni ukoloni mamboleo, hao wazungu wakitaka kuwekeza kwako wanataka wakutawale na wakufanye wapendavyo. pia, gas kwa mfano, kwa Africa unahitaji mwekezaji mkubwa sana, akifanikiwa kuweka NLG uweke mtandao wa kuiuza hapahapa Africa, kwasababu ulaya na Asia hakuna soko kubwa la gas za Tanzania na Mozambique, nasema hivi kwasababu Russia ina gas nyingi ajabu na wamesambaza mabomba karibia ulaya magharibi yote toka russia yameenda kusambazwa hadi majumbani ulaya yote, kwahiyo ana uhakika. ujerumani kwa mfano hawezi kuacha kutumia gas ya russia ambapo ni karibu kuipata ili aifuate hii ya Tanzania ambako itabidi atumie garama nyingi sana kusafirisha. Iran, na nchi kadhaa za uarabuni wanayo gas nyingi sana ambayo wanamuuzia China na India na tiger countries.
sisi tunachotakiwa kufanya, ni kuhamasisha mwekezaji aweke kiwanda kikubwa cha gas, ikipatikana itakuwa liability kwake yeye kutafuta masoko kulingana na mtaji aliouwekeza kwasababu atataka kurudisha gharama jambo litakalomfanya atafute soko kwa lazima, na soko kubwa lingekuwa la viwanda vinavyotumia gas hapahapa nchini au nchi jirani, viwanda vitakavyokuwa dependant kwenye gas. zaidi ya hapo tunaweza kuuza pia south africa na india kwa bei ya chini kwa ushindani na waarabu ambao wapo karibu kwao (kuisafirisha kwao ni nafuu kuliko kuisafirisha toka huku hivyo lazima tukubali kuliwa kidogo bei ipungue kama incentive), tukifanikiwa pia kuboresha bandari na miundombini mingine kuunganisha na landlocked countries, tutafanya nchi hizo zijenge viwanda tegemezi na hapa kwetu watajenga viwanda tegemezi kwa gas yetu au umeme wetu wa gas, na ndio litakuwa soko l a uhakika. maisha ya watu yakiboreshwa, watakuwa na nyumba bora na matumizi ya mkaa yatakufa kifo cha mende kila nyumba watatumia umeme au gas vyote toka hapahapa jambo litakaloongeza soko sana, matumizi ya magari ya gas pia in the long run. kwa misingi hiyo kidogo nitakubaliana na wewe.
Thank youFanya hivi
Acha blah blah
Fungua kampuni ya kufanya kimojawapo hapo
Mkuu kwanza kongole kujenga hoja uku ukichukua sekta ya utalii Kama mfano,Nakubaliana na wewe kusuhu natural resources kwamba Tanzania sio tajiri Kama ambavyo watu wanaaminishwa na Wanasiasa uchwara na wasio na maono kuhusu dunia na namna inavyo kwenda katika mabadiliko mbalimbali ya kiuchumi,kisiasa, kijamii na teknolojia.Nadhani tumekua tukidanganywa sana kwamba sisi ndio tuna mali nyingi kushinda Ulaya na kwingine, we are wrong na hii ndio inatudumaza akili.
Labda nikupe changamoto hii uiangalie upya, sisi tunajadili kwamba tuna vivutio vikubwa vya utalii duniani, lakini unafahamu nchi ya kwanza duniani kwa 2020 ilikuwa France ambayo ilipokea tourists milioni 89.4? Ikifuatiwa na Spain ambayo ilipokea wageni milioni 83.7 then Thailand ambayo ilipokea wageni 32.6 milioni ikifuatiwa na German etc. (According to Google accross the web).
Data hizo hapo ninataka kuonyesha ni namna gani kuwa na kivutio fulani basi ndio kikupe kiburi usifanye jitihada za makusudi ili kuwavuta watalii.
Naongelea sekta moja ya utalii kama mfano tu ili kuweza kuonyesha namna ambavyo tumekuwa tukipotoshwa sana kwamba tuna mali nyingi mno. Mali bila akili na jitihada za makusudi ni kazi bure.
Hapa lazima kuwa na policy ambazo zitaendana na desturi za wageni watakaokuja, wao kwao wanataka kuwa free, ushoga, kujiuza kwao no free, wanakuja kutembea Ila hawataki restrictions na ndio maana hawaji kwetu. Hapa kwetu watalii hawazidi milioni mbili na tunaendelea kujimwambafai tuna mali.
Madini hatuna kushinda nchi kama America even mafuta, wale hawajaanza kufanya open cast mining wanachimba kawaida tu, wakianda na kupiga kambi kama mwadui au GGM kwa ukubwa wa marekani hatutakuwa na kitu tunaweza kuuza kwao.
Kumbuka aliyekuambia Jana kwamba dhahabu Ina thamani kesho anaweza kukuambia haina thamani,
Namaanisha ukoloni mamboleo hautaosha, ukiisha Ina maana dunia umeisha. Binadamu anaishi kwa survival, mkubwa anamtumia mdogo and vice versa.
Sisi bila kuwa na technology yetu na uvumbuzi wa kwetu usiohusisha wazungu, hatutaweza kushinda a nao. Ndio maana unaweza kuona Russia, North Korea, China wanapambana kila siku kuwa na teknolojia zao kwenye kila sekta.
Sisi tuna wataalamu wa kila aina Ila hatujataka kuwaweka pamoja waumize vichwa kuvumbua vifaa mbalimbali ikiwemo vya afya, anga, kilimo etc.
Leo hii mtu akisoma medicine anaishia kuwa daktari tu, lakini hatuwazi kwamba huyohuyo anaweza kuvumbua dawa za magonjwa fulani, au akagundua sababu za ugonjwa fulani kuwepo.
We need to invest in short term and long term strategies za maendeleo yetu ikihusisha ukuaji wa teknolojia yetu isiyo tegemezi. It's damn expensive lakini heri tuinvest hapo kwanza.
HiVi unadhani hakuna bunifu nzuri kwenye hii nchii .... Kunabunifu za kipekee na kama zitatiliwa mkazo basi hii nchi ingekuwa mbali Sana tatizo siasa kila mahali pia secta binafsi azipewi kipaombele hii nchi kila kitu ni serikali serikali...hii inasababisha mambo mengi na bunifu nyingi nzuri kukwama.Tatizo sisi hua kila kitu tunalalmikia serikali, we are lazy! yaaani hata swala la kua mbunifu unasema serikali iweke mazingira sasa sisi tuna faida gan? unazaliwa unasoma bure, unapewa mkopo na kazi unatafutiwa na serikali?
Mkuu Mimi naona ujamaa hauna madhara makubwa Sana Kama kutowajibika, kutowajibika ndo chanzo kikubwa Cha matatizo katika nchi mfano Kuna muda bunge lilikuwa katika mjadala muhimu wa bajeti ya nchi ila wabunge Kuna muda walikuwa wanaacha kujadili bajeti na kuanza kumjadili Mbowe Mpaka ilifika muda Rais kuwaambia waache kudemka wajadili mambo ya msingi je suala hili la wabunge lilichangiwa na ujamaa?Yaani ndugu yangu, tatizo ni naloliona ni Tz.kuendelea kuamini na kuweka siasa na mawazo ya siasa za ujamaa/kikomunisti kwenye karibu mambo yote, ambayo ni ya msingi ya kuwezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa nchi yoyote ktk ulimwengu wa leo, pamoja na kwamba tuna resources nyingi ambazo zingetuwezesha tuwe tumepiga hatua kubwa ya maendeleo.......... bado naona tuna safari ndefu....
I
Serikal ndo inapanga kila kitu bila serikal vitu alivyoo vitaja hapoo juu kutoboa ni ndotoTatizo sisi hua kila kitu tunalalmikia serikali, we are lazy! yaaani hata swala la kua mbunifu unasema serikali iweke mazingira sasa sisi tuna faida gan? unazaliwa unasoma bure, unapewa mkopo na kazi unatafutiwa na serikali?
ππππππMkuu Mimi naona ujamaa hauna madhara makubwa Sana Kama kutowajibika, kutowajibika ndo chanzo kikubwa Cha matatizo katika nchi mfano Kuna muda bunge lilikuwa katika mjadala muhimu wa bajeti ya nchi ila wabunge Kuna muda walikuwa wanaacha kujadili bajeti na kuanza kumjadili Mbowe Mpaka ilifika muda Rais kuwaambia waache kudemka wajadili mambo ya msingi je suala hili la wabunge lilichangiwa na ujamaa?
Ndio maana nimesema ningeweza, nimetumia nafsi ya kwanza umoja. πππππππππππππ.Serikal ndo inapanga kila kitu bila serikal vitu alivyoo vitaja hapoo juu kutoboa ni ndoto
imefanyejeππππππHELIUM
imefanyeje