Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mapenzi ni scam nimenyanyua mikono dunia hii ni maumivu tu basi tu yapite kushoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilimuuliza dem wangu aisee alinitajia ni ndgu yangu kabisa hadi leo sina Amani ndani ya moyo wangu nilikuwa nampenda sana ili nimuoe baaada ya kumuuliza hivyo na kuniambia ukweli basi mimi hap hapo moyo ukasinyaaa yani najuta sana.Wewe jamaa una utoto mwingi sana hukustahili hata kuingia kwenye ndoa. Yani una ule utoto wa matineja kuulizia demu wako alitolewa bikra na nani? Koma. Umia mpaka ufe.
Mnauliza uliza ili iweje. Mimi niliwahi kutana na manzi nilikuwa najua jina lake analotumia kwenye group la WhatsApp (username). Tulikutana group. Sikuwahi muuliza jina lake la ukweli mpaka tukaja kuachana. Ùsije muuliza hata jina ukakuta ni mtoto wa babako wa nje.Mimi nilimuuliza dem wangu aisee alinitajia ni ndgu yangu kabisa hadi leo sina Amani ndani ya moyo wangu nilikuwa nampenda sana ili nimuoe baaada ya kumuuliza hivyo na kuniambia ukweli basi mimi hap hapo moyo ukasinyaaa yani najuta sana.
Ndo unajua leo kwan[emoji28][emoji28]Mapenzi ni scam nimenyanyua mikono dunia hii ni maumivu tu basi tu yapite kushoto
angeileta nusnusu, au sio my!?Ndefu sana!
Niliachana nayo kitambo tu 😅😅 sina mpango nayoNdo unajua leo kwan[emoji28][emoji28]
Acha Uoga kijana,,,,, hayo Machozi yalifanya kazi kwa Wake wa miaka hio waliokuwa wanaolewa bado wana Bikira zao...Ila chozi la mke halali kamwe halitakuacha salama. Ulikua na ugonjwa wa ngozi..saivi kitakachokupata utahadithia mizimu ya babu zako. Chozi la mke ni baya sana mkuu.
Daah sijaisoma kabisa nime scrollNdefu sana!
af wee dogo ndefu ipi sasa aliyosema au ficheSindio mnapendaga ndefu