Nini amekosa AY?

Hahaaa poleni sana,, AY anakbalika sana Africa,, mond yuko hot kwa sasa,, lkn kimafanikio ya mziki hamkuti AY,,,
 
Abadilishe mademu kama diamond labda atatoboa mana aliwika sana kipnd kile mara yupo na amani toka kenya
 
Mafanikio ya mtu maarufu siku zote hayafichik, licha ya AY kujituma sana but mafanikio yake sio kivile kama watu wanavyosema kwamba hataki kujionyesha ukisema anareality tv show hata chid benz nae alikua nayo, ukisema ni balozi, hata wakina barnaba nao ni mabaloz sasa mafanikio yake cjui yatakua yap ambayo wenzie hawana
 
Mkuu mziki ni biashara,kuongelewa nayo ni issue nyingine,haujasikia kwamba kuna watu wanatoa smart phones kwa watu ili wawe wanapewa promo kwenye social media?
 
frankly speakin sijawahi kuvutiwa na wimbo hata mmoja wa AY i dont know why, sii kwamba simpendi, ila tu nyimbo zake haziingiagi kwenye maskio yangu.
 
Kusema ukweli watanxania wengi wana utindio wa ubongo huwa nashangaa tabia yakusupport wauza sura nakuacha wanamuziki nyuma
 

tupate maana ya mafanikio kwanza ndio tupime kama ay kafanikiwa au yuko stagnant......!
 
Mnataka mafanikuo gani?

Mafanikio ya uasherati

Mafanikio ya scandals

Mafanikio ya kioesa

Mafanikio ya kujishow off IG

Mafanikio ya kupisti.mipasho social network au???
 
Mtakuja kushangaa hao mnaoita wana majina makubwa na mziki mzuri ndio wanaochangiwa nauli na AY kwenda kutibiwa India.
 

kuna nyimbo inaitwa hiphop haiuzi ya madee nenda kaisikiliza utapata majibu mengi tu
 
Inasemekana kwamba AY ni mwenye mafanikio kuliko mfano..!!

Mi sjui lakin.
 
Hajui kucheza na media na social networks ka dangote.. We ona diamond anakaba kotekote kuhakikisha promo ya kaz zake ipo juu
 
sisi hiphop headz tunatambua kazi yake ,wakati anapokea tuzo za channel o diamond alikuwa tandale anakula ngisi na pweza wa kudonoa na toothpick,michachandu kibao na michumvi

ha ha ha jamaa umetisha
 
Ni kweli AY ni mmoja wa wasanii ambao wapo siriazi na kazi zao, jamaa nahangaika na anatambulika juhudi zake

Kiukweli ni mmoja wa wasanii ambao wanamafanikio kiasi kikubwa kimuziki isipokua kinachotatiza hadi kufikiri haya yote ni aina ya muziki anaofanya HIP HOP

Natambua juhudi zake kimataifa lakini kiafrika inakua vigumu kidogo watu kuikubali hip hop zaidi ya kuimba

Maoni yangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…