Nini amekosa AY?

hata mi naona kuna ladha inakosekana kwenye nyimbo zake lately. nyimbo zake za awali zilikuwa na fleva nzuri ila sasa anakuwa siriaz sana na marlet hadi anapoteza.
 

Labda ungesema kwanza nini kipimo cha mafanikio? Labda useme AY alitakiwa kuwa na mafanikio kuliko aliyonayo!
 

Nani kakwambia AY ka stack? umetumia vigezo vipi labda ku conclude kua Diamond ana mafanikio makubwa kuliko AY?
Au coz hajatembea na msululu wa wasanii wa bongo muvi ndo unasema hana mafanikio ?

Anataka AY ajiite sukari ya warembo....halafu mwanaume na akili zako unamshabikia diamond wakati mpaka mama yako, mkeo, dada yako yy anatamba ni sukari yao

AY hana maskendo ya kulala dada zetu na kuwaacha na kupeleka picha kwa shigongo azitoe magazetini!

akili za kitanzania ndio kama hizi, hajui lolote, hajafanya research, hajauliza ameishatoa conclusion
 

hana skendo za kulalabna dada zetu??? hivyo analala na dada zake au?
 
Nani kakwambia AY ka stack? umetumia vigezo vipi labda ku conclude kua Diamond ana mafanikio makubwa kuliko AY?
Au coz hajatembea na msululu wa wasanii wa bongo muvi ndo unasema hana mafanikio ?

Ila kupata tuzo nyingi pia ni kipimo kwamba msanii anakubalika,nadhani kwa tuzo hata hamfikii 20 % wa bange bange
 
Daidomo anatumia nyota ya mademu kung'ara kila nchi anayotaka, AY mambo ya nyuchi hana ndiyo maana havumi hivyo...
 
AY amepitwa na mda,hana kipya style ile ile,hata kama ni hip hop mistari yake mepesi mno,anapenda nyimbo za mapenzi wala hata hazivutii huwezi kumfanani na Joh Makini,Nikki wa pili au fid q,unaona majamaa mahardcore ila wakichana mistari ya mapenzi unawakubali,AY hana kipya
 

kumbe mwoga, is it natural someone to sleep with his own sister? what were you thinking askin such stupid question?

I though ungekuja mbogo nikufundishe kujenga hoja, so swali lako ni hoja?? Div 5 bana

I always say, mnaoweza kutumia majina yenu, be smarter bana
 
hata mimi mwenyewe nashangaa jamaa kaanza toboa na kupiga collabo za nje toka kitambo nadhani ndiye kawapa direction wasanii wengi lakini mpaka leo huwezi sema mziki wake umekua sana.
Mfano mdogo hii track yake mpya ya Touch me, japo kuwa kafanya na msanii mkubwa Sean Kingstone lakini hebu angalia views zake youtube mpaka sasa ni 102,902 tu. youtube ni sehemu moja ya kupima fan base ya msanii, sasa mnaodai jamaa anafanya vizuri sana internationally hao fans zake mbona hawaonekani kuangalia video zake maana almost video zake zote zina viewers wachache.
Mnasema anapiga shows nyingi nje, kama ni kweli basi ni shows ndogo ndgo maana hata vyombo vyetu vya habari uwa havireport walau kutupia vipicha tuone, mbona wengine wakifanya shows nje utaskia kwenye vi blogs na mbona hata yeye mfano alipoenda white house na kipindi kile kufanya show big brother tuliona hizo habari sasa iweje shows nyingi mnazodai anapiga zisiandikwe?
Mziki ni biashara, na ili ufanikiwe kimziki lazima ujitangaze sana, ukiwa na show lazima ufanye watu wajue. Interaction kati ya msanii na fans wake ni muhimu sana ndiyo maana hata wasanii wakubwa wa nje utakuta wako kwenye social network wakitoa habari zao za shows, na mambo yao mengi kwa fans zao. Ile sio show off bali ni kuleta mawasiliano baina ya msanii na fans wake.
Mziki upimwa na tunzo Ay sijui ana tunzo ngapi hapa Tz, tunzo za nje alikuwa anachukua kipindi cha nyuma lakini naona baada ya wasanii wengine hapa tz kuanza nao kwenda international wamemnyanganya nafasi hata za kuwa nominated tu.
All in all Ay namkubari kwa life style yake na ni mtu makini na hustler mwenye kujua kutafta pesa hata nje ya mziki.
 
sisi hiphop headz tunatambua kazi yake ,wakati anapokea tuzo za channel o diamond alikuwa tandale anakula ngisi na pweza wa kudonoa na toothpick,michachandu kibao na michumvi


hahaaaa......siyo siri mie mwenyewe mmoja wapo wa kusonoa pweza na ngisi......
 
nyimbo za AY hazifahamiki uswazi zipo kimasaki zaidi mfano shaa naye nyimbo zake kama AY zipo kimasaki zaidi hadi pale alipotoa sugua gaga ndo wakamfahamu huko uswazi......kwahiyo diamond ana kundi la mashabiki wa aina zote kuanzia watoto hadi kinamama while AY ana kundi flan tu la mashabiki
 
am so sorry kusema hujanielewa.
 

haswaaaaa anachokosa AY ni kujichanganya na watu yaani hahangaiki kutafuta mashabiki...mfano mara nyingi hata akiwa nominated kwenye tuzo wala hata haangaiki kuomba kura...............in short kazubaa sana
 
Ay hana skendo km diamond ndo mana hasikiki masikion mwa watu..ila he is very succesfully..anaendesha kampuni yake inayoendesha kipindi cha mkasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…