Binamu huyu amekulia Upanga hawa ni watu wa connection na muziki ndio starehe yao, video yake na Sean Kingston daily inapigwa na channel O mwaka huu lazima atakuwa nominated kugombea tuzo ya video bora.
Binamu huyu amekulia Upanga hawa ni watu wa connection na muziki ndio starehe yao, video yake na Sean Kingston daily inapigwa na channel O mwaka huu lazima atakuwa nominated kugombea tuzo ya video bora.
But he'll NEVER win.
But he'll NEVER win.
Ndio maana Mungu kitengo cha kugawa riziki hakuwapa mamlaka binadamu anakimiliki yeye mwenyewe.
Yawezekana akapata tuzo na wala usiione ukawa ni marehemu tayari. Acha kuingilia kazi za Mungu.
Yawezekana akapata tuzo na wala usiione ukawa ni marehemu tayari. Acha kuingilia kazi za Mungu.
Mi na wewe nani kaingilia kazi ya MUNGU...??
Kwani AY haoni mwenzake FID alivyorud baada ya kushirikishwa na Young killer,!
Aache u conservative.
Jibu ni fupi tu...Ambwene huu sio wakati wake, anachofanya ni kumaintain jina lake lisipotee kabisa maskioni kama kaka yake Gk hii ni kibiashara zaidi coz jamaa anaijua hela kuliko Chenge.
Bana tena pua AY hapati!!
maskini Wewe!! fid q alienda Wapi hadi arudishwe na young killer?
Umeanza kulewa..?!
AY ana mafanikio mengi sana sema hayatangazi kwa maana anafanya ishu zake kizungu. wale wa uswazi take away hata wakinunua redio mtaa mzima unafungwa. Mafanikio ni mtu kuita watu wakampokee airport kwa maandamano? ni kupanga nyumba ya kawaida sinza mmejibana ukoo mzima including mama na dada zako?
Ov
tofauti ya AY ni ukimya hatangazi. juzi tu amefanya collabo na sean kingston kitu kinapigwa majuu. ingekuwa yule uswazi takeaway na team yake amefanya hili basi angetangaza dunia nzima.
style ya mziki wake ni ngumu kupendwa hasa na mashabiki wanaoongozwa na hisia na mihemko (ambao ndio aina ya ushabiki wa tz)Yawezekana wengi tumeshindwa kumuelewa nikiwemo mimi dah kiukweli simuelewagi anachoimba. Kama hiyo party zone dah!!
Anyways.....kuna ile nyimbo aliimba na ms trinity kipindi cha nyuma......nadhani ndo nyimbo niliyoipenda.
style ya mziki wake ni ngumu kupendwa hasa na mashabiki wanaoongozwa na hisia na mihemko (ambao ndio aina ya ushabiki wa tz)