Nini amekosa AY?

Nini amekosa AY?

Binamu huyu amekulia Upanga hawa ni watu wa connection na muziki ndio starehe yao, video yake na Sean Kingston daily inapigwa na channel O mwaka huu lazima atakuwa nominated kugombea tuzo ya video bora.

But he'll NEVER win.
 
Niliona ni nzurii lakini Ay hua simuelewi tu yaan hanisimumui miziki yakeee
 
Ndio maana Mungu kitengo cha kugawa riziki hakuwapa mamlaka binadamu anakimiliki yeye mwenyewe.

Yawezekana akapata tuzo na wala usiione ukawa ni marehemu tayari. Acha kuingilia kazi za Mungu.

Hhhhhaaaaa
 
Jibu ni fupi tu...Ambwene huu sio wakati wake, anachofanya ni kumaintain jina lake lisipotee kabisa maskioni kama kaka yake Gk hii ni kibiashara zaidi coz jamaa anaijua hela kuliko Chenge.

ndo anachofanya muda wote.

kuna wenyevwakati wao ila mfukoni hamna kitu!!

kwa soko la muziki wetu,kufanikiwa kupitia mziki sio kazi ndogo
 
Inasemekana kwamba AY ni mwenye mafanikio kuliko mfano..!!

Mi sjui lakin.

AY hata Mwana FA,ni wanamuziki wenye mafanikio mazuri sana kimuziki,hata kielimu FA yupo vizuri ila AY sifahamu vizuri elimu yake.
 
Last edited by a moderator:
AY ana mafanikio mengi sana sema hayatangazi kwa maana anafanya ishu zake kizungu. wale wa uswazi take away hata wakinunua redio mtaa mzima unafungwa. Mafanikio ni mtu kuita watu wakampokee airport kwa maandamano? ni kupanga nyumba ya kawaida sinza mmejibana ukoo mzima including mama na dada zako?

tofauti ya AY ni ukimya hatangazi. juzi tu amefanya collabo na sean kingston kitu kinapigwa majuu. ingekuwa yule uswazi takeaway na team yake amefanya hili basi angetangaza dunia nzima.
 
Style yake sio kabisa....anaimba kiboss boss sana hata hashawishi kabisa.

Nyimbo zake nyingi zinatazamika tu ila audio zake hazisisimui kwakweli. Ila kwenye touch me kajitahidi
 
AY ana mafanikio mengi sana sema hayatangazi kwa maana anafanya ishu zake kizungu. wale wa uswazi take away hata wakinunua redio mtaa mzima unafungwa. Mafanikio ni mtu kuita watu wakampokee airport kwa maandamano? ni kupanga nyumba ya kawaida sinza mmejibana ukoo mzima including mama na dada zako?
Ov
tofauti ya AY ni ukimya hatangazi. juzi tu amefanya collabo na sean kingston kitu kinapigwa majuu. ingekuwa yule uswazi takeaway na team yake amefanya hili basi angetangaza dunia nzima.

Yawezekana wengi tumeshindwa kumuelewa nikiwemo mimi dah kiukweli simuelewagi anachoimba. Kama hiyo party zone dah!!

Anyways.....kuna ile nyimbo aliimba na ms trinity kipindi cha nyuma......nadhani ndo nyimbo niliyoipenda.
 
style ya mziki wake ni ngumu kupendwa hasa na mashabiki wanaoongozwa na hisia na mihemko (ambao ndio aina ya ushabiki wa tz)
 
Tatizo wengi mmezoea viduku,so kumuelewa AY itakuwa Kazi sana.Kama mafanikio ni pesa na Mali basi AY kafanikiwa kwa level yetu ya kitz.
 
Asije akawa na kismati cha paka cha kupendwa na wachawi (kwa mujibu wa MwanaFA)
 
style ya mziki wake ni ngumu kupendwa hasa na mashabiki wanaoongozwa na hisia na mihemko (ambao ndio aina ya ushabiki wa tz)

Kwenye u heard ya Clouds leo wamemuuliza kama anamla Siti Mtemvu maana wameonekana beach fulani wakila maselfie ya ukweli na Siti Mtemvu lakini kawachomolea na kuwaambia yeye yupo single na hajakaa wala kusimama kwa demu yoyote.

Hii nini maana yake? Maana yake hata kama ana project zake binafsi ni mambo yake private.

Kuna watu na akili zao mpaka leo hawajui kwa imani zote kwamba kuzini ni dhambi sasa wanalazimisha kila mtu awe bize kusifia uzinzi.
 
Back
Top Bottom