Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Style yake sio kabisa....anaimba kiboss boss sana hata hashawishi kabisa.
Nyimbo zake nyingi zinatazamika tu ila audio zake hazisisimui kwakweli. Ila kwenye touch me kajitahidi
Kuna nchi za ulaya ukibahatika kuishi unaonekana utakuwa na wakati mgumu sana wewe bibie maana utakuta kuna show kubwa inafanyika kwa kiingilio kikubwa ukiingia humo unakuta mwanamuziki mwenyewe kawekewa kiti kabisa cha kukaa jukwaani hakuna mauno hapo na utashangaa show hiyo imevunja rekodi.
Achana na watu weupe kabisa hawa ndio wanajuwa muziki ni nini, mimi ukija nyumbani kwangu jumapili bila hata ya mimi sijakwambia lolote utapata ishara tu kama uko na mtu tofauti utakaposikia tu playlist yangu au afadhari naweza kuweka choice fm wale tunaongea lugha moja.