Nini amekosa AY?

Nini amekosa AY?

You remember those back days i use to be stupid too before i change my behaviour niliaminishwa wewe ni Zamaradi wa Ruge lakini siku zote kweli usimama kuwa kweli milele uongo na ukweli vimejulikana.

Duh naona unamwaga ung'eng'e.
 
Kuna kitu ambacho watu hamkifahamu kuhusu AY ndomana mtoa mada kathubutu kumfananisha na Diamond kitu ambacho si sahihi sana, yaan ni kama umfananishe Messi (AY) na Mrisho ngasa ( Domo)

Fahamu kuwa alipo Domo kwasasa yeye AY alishapapita miaka mi 5 iliyopita na hajashuka mpaka sasa, yupo next level, diamond bado yupo kwenye kupata more recognition internationally ndomana unamwona kila jambo analofanya lazima ahakikishe media na social network zooote zimepambwa na picha na habari zake,kitu ambacho ni kizuri kwakuwa anazidi kujitangaza zaidi.

Style ya AY kipindi anahustle ilikuwa tofauti na Diamond, AY kamwe hakujitangaza tangaza, watu walistukia tu ma collabo na wasanii wengine wa Africa,mara tuzo za Channel O kachukua, mara collabo na Sean kingstone ikawa hivyo. Japo hajasema ila jiandaeni kolabo inayofuata ni yeye na J-Z (jokes n I wish to be true)

Mondi bin Laden a.k.a Domo yeye kila ananchokifanya lazima atupie kwenye mitandao, anamjengea swimming pool mama ake katupia picha, anashuka kwenye ndege katupia picha, katoka kuoga katupia picha, anakula katupia picha, yaan bado kutupia picha akiwa anagegeda tu. Akifanya video yoyote atasema gharama alizotumia, matamasha afanyayo atasema kapata sh ngapi, hata account atasema haipungui kiasi kadhaa…ila amini msiamini laiti AY angesema mafanikio yake kwenye media basi wazee wa Escrow wangejiona kumbe hata wao wana mpinzani kwenye maswala ya chapaa.

Kufananisha nyimbo za AY na Diamond kwasasa ni kukosea,eti ooh Domo ana viewer wengi kwenye youtube kuliko AY ni kweli kabisaa ila sio kipimo halisi cha kufananisha mafanikio, Domo amefocus zaidi kwenye nyimbo zake na video production bora zitakazomweka pazuri kimataifa zaidi, wakati AY amefocus zaidi kwenye u manager wa wasanii, jamaa ana kampun yake ya management na ana wa manage wasanii wakubwa tu afrika kwasasa, nani anajua kwamba P square wapo chini ya AY?

Nani anajua kuwa Nameless, Wahuu, Bracket na wengineo wote wapo chini ya management ya AY?? Jamaa ana vitega uchumi kibaooo south Africa, kwa fununu tu japo sina uhakika naskia ana bongee la jumba South jumba ambalo wasanii wetu wakienda South ndo uwa wanafikia kwa jamaa, miradi aliyonayo hapa Tz akiiweka hadharani yote lazima mtasema tu huyu jamaa ni muuza sembe.


Namkubali sana Domo tena sana kwakuwa anajituma na ameleta hamasa kubwa kwa wasanii wengine kuthubutu kufanya mziki wao ki international zaidi, mwangalie Linnah, Rich mavoko, chege na temba hata Ali kiba mwenyewe amelazimika kutoa internaonal video just because of Diamond, nilitamani sana Diamond angekuwa chini ya management ya AY naamini angefika mbaaaaali zaidi, hii timu vitambi aliokuwa nao sasa wakina Babu tale na Fellah mmmh,nina mashaka nayo.

KIla la kheri wasanii wa Tz kila la kheri mziki wa bongo fleva.
 
Unaweza fanya collabo na Jay Z ila song ikawa normal yaani kawaida sana.

Hili la nyota pia linausika japo mie sio muumin sana wa nyota.:wacko:
 
Umeona eeehhh yani me siku zote nitasimamia kile ninachoamini no matter what. With time wenye akili wanaelewa ila wale hayawani watabaki hayawani.

Nakushauri usipoteze muda kujibizana na mtu mpum..bavu. Kuna watu huwa nishawajua bila personal attack kwao hawajacomment .,huwa siwajibu watu wa aina hii. ila wasivyo na akili hawajiulizi why huwa siwajibu matokeo yake wananitafuta hivyo hivyo. Kwa kifupi nimeamua kuwaachia benefit of doubt wahisie hivyo hivyo wajijibu wenyewe. Ulweli kuhusu mimi ninao Mimi binafsi ( hata mzazi wangu aweza asinijue vyema).

Just calm down
 
Duh wabongo tunajua kudanganyana, eti AY ni meneja wa PSquare teh teh. Eti AY anajumba kubwa South wakati bongo tu hana lol, hivi unajua kwamba AY anaishi kwenye nyumba ya kupanga Sinza? mkweli wa mambo
 
Last edited by a moderator:
Labda laana ya kumtoa mimba Amani inamwandama.....!!
Lol
 
Mnataka mafanikuo gani?

Mafanikio ya uasherati

Mafanikio ya scandals

Mafanikio ya kioesa

Mafanikio ya kujishow off IG

Mafanikio ya kupisti.mipasho social network au???

Music is all about showbiz...
 
me nnachompendea ni money maker,kwa sasa

1) Anasomea Urubani
2) Anamiliki kisiwa cha Mbudya
3) Ana daladala 3 mjini hapa,tegeta kariakoo route
4) CEO kipindi cha Mkasi,anapiga pesa tu
5) Balozi wa Brands kubwa kama Vodacom
6) Ana kampuni inayoitwa Unit Entertainment
7)Ana duka kubwa zuri la Nguo Sinza linaitwa AY wear

So Jamaa kimaisha yuko poa
 
Duh wabongo tunajua kudanganyana, eti AY ni meneja wa PSquare teh teh. Eti AY anajumba kubwa South wakati bongo tu hana lol, hivi unajua kwamba AY anaishi kwenye nyumba ya kupanga Sinza? mkweli wa mambo

Hahaha nimecheka sana,yani kuna vitu vingine watu wanaviongea unabaki kucheka tu....tunaambiwa ata kisiwa cha mbudya ni chake eti !
 
Last edited by a moderator:
Duh wabongo tunajua kudanganyana, eti AY ni meneja wa PSquare teh teh. Eti AY anajumba kubwa South wakati bongo tu hana lol, hivi unajua kwamba AY anaishi kwenye nyumba ya kupanga Sinza? mkweli wa mambo

mkuu ungesoma vizuri sentensi yangu ungenielewa,kuna neno fununu nimeliweka hapo mwweh!!
suala la kupanga kawaida sana wala sio kipimo cha maendeleo ya mtu, wasanii wangapi wanapanga bhana? bongo tu ndo nchi unayoweza kumiliki ardhi yako na kuifanyia utakavyo,nenda kwa wengine ndo utaona mziki..hata Christ brown, Jason darule, Balotelli, Di Maria wote hao wamepanga, namimi pia nimepanga vilevile japo Diamond na Ay hawanifikii kimkwanja.
 
me nnachompendea ni money maker,kwa sasa

1) Anasomea Urubani
2) Anamiliki kisiwa cha Mbudya
3) Ana daladala 3 mjini hapa,tegeta kariakoo route
4) CEO kipindi cha Mkasi,anapiga pesa tu
5) Balozi wa Brands kubwa kama Vodacom
6) Ana kampuni inayoitwa Unit Entertainment
7)Ana duka kubwa zuri la Nguo Sinza linaitwa AY wear

So Jamaa kimaisha yuko poa

Anasomea urubani chuo gani?

ninachojua Ay anashinda sana angani kuliko Ardhini ila mengine ni chumvi tu
 
me nnachompendea ni money maker,kwa sasa

1) Anasomea Urubani
2) Anamiliki kisiwa cha Mbudya
3) Ana daladala 3 mjini hapa,tegeta kariakoo route
4) CEO kipindi cha Mkasi,anapiga pesa tu
5) Balozi wa Brands kubwa kama Vodacom
6) Ana kampuni inayoitwa Unit Entertainment
7)Ana duka kubwa zuri la Nguo Sinza linaitwa AY wear

So Jamaa kimaisha yuko poa

iyo namba 5 hapo ongezea maana saivi ni balozi wa Samsung pia..
 
ay , banana, ali kiba ni wasanii niliowakubali sana ila wameniangusha sana.

hawana ubunifu kabisaaa

watabaki hivyo hvy hadi kumezwa na historia!
 
Back
Top Bottom