Nini bia!....? Kunywa konyagi

Nini bia!....? Kunywa konyagi

Ayaaa!
Nani amwaga konyagi yangu? mnataka kuona nguvu ya mlevi??? ukinigusaaaaaa!!!! Utajuuuuuta Kunfehem
 
Aliyekamatwa na Ng'ombe ndiye mwizi wa Konyagi ...Hic!

Hii signature yako siipati picha yaani Ng'ombe na Konyagi wapi na wapi bana??!!Au ndo tayari mashetani ya Nyagi yapo yuluuuu kumkichwa!!

Karibu Jamvii
 
Hii signature yako siipati picha yaani Ng'ombe na Konyagi wapi na wapi bana??!!Au ndo tayari mashetani ya Nyagi yapo yuluuuu kumkichwa!!

Karibu Jamvii
burp hic
ukiona ivo ujue naona mzuka wa manjano
karibu nyagi mkuu
 
Asante Mkulu,ila nianzishie na kiloba kwanza kile ndo kipimo kizuri
 
usisahau kuwa gongo ni afya ila serikali wanaionea donge
 
Kwa nchi ya Tz ambapo ulevi ni URITHI wa taifa hili linawezekana pia.
 
Back
Top Bottom