Makonyagi Member Joined Apr 16, 2009 Posts 40 Reaction score 1 Apr 17, 2009 Thread starter #21 Ayaaa! Nani amwaga konyagi yangu? mnataka kuona nguvu ya mlevi??? ukinigusaaaaaa!!!! Utajuuuuuta Kunfehem
Ayaaa! Nani amwaga konyagi yangu? mnataka kuona nguvu ya mlevi??? ukinigusaaaaaa!!!! Utajuuuuuta Kunfehem
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 66 Apr 17, 2009 #22 Aliyekamatwa na Ng'ombe ndiye mwizi wa Konyagi ...Hic! Click to expand... Hii signature yako siipati picha yaani Ng'ombe na Konyagi wapi na wapi bana??!!Au ndo tayari mashetani ya Nyagi yapo yuluuuu kumkichwa!! Karibu Jamvii
Aliyekamatwa na Ng'ombe ndiye mwizi wa Konyagi ...Hic! Click to expand... Hii signature yako siipati picha yaani Ng'ombe na Konyagi wapi na wapi bana??!!Au ndo tayari mashetani ya Nyagi yapo yuluuuu kumkichwa!! Karibu Jamvii
Makonyagi Member Joined Apr 16, 2009 Posts 40 Reaction score 1 Apr 17, 2009 Thread starter #23 senator said: Hii signature yako siipati picha yaani Ng'ombe na Konyagi wapi na wapi bana??!!Au ndo tayari mashetani ya Nyagi yapo yuluuuu kumkichwa!! Karibu Jamvii Click to expand... burp hic ukiona ivo ujue naona mzuka wa manjano karibu nyagi mkuu
senator said: Hii signature yako siipati picha yaani Ng'ombe na Konyagi wapi na wapi bana??!!Au ndo tayari mashetani ya Nyagi yapo yuluuuu kumkichwa!! Karibu Jamvii Click to expand... burp hic ukiona ivo ujue naona mzuka wa manjano karibu nyagi mkuu
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 66 Apr 17, 2009 #24 Asante Mkulu,ila nianzishie na kiloba kwanza kile ndo kipimo kizuri
Makonyagi Member Joined Apr 16, 2009 Posts 40 Reaction score 1 Apr 17, 2009 Thread starter #25 usisahau kuwa gongo ni afya ila serikali wanaionea donge
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Apr 20, 2009 #26 Kwa nchi ya Tz ambapo ulevi ni URITHI wa taifa hili linawezekana pia.