Nini cha kufanya na kutofanya tetemeko likipita?

Nini cha kufanya na kutofanya tetemeko likipita?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Limepiga la 4.5 tu lakini kiwewe kilichonipata. Vipi huko yanapiga ya 7! Nini cha kufanya na kutofanya litokeapo tetemeko.
Screenshot_20240601-024807.png
 
Limepiga la 4.5 tu lakini kiwewe kilichonipata. Vipi huko yanapiga ya 7! Nini cha kufanya na kutofanya litokeapo tetemeko.
View attachment 3005370
Likitokea usikimbie maana unaweza kuangukiwa na kuta au vitu vingine vilivyo loose. wewe tafuta engo moja ya hicho chumba ulipo au chini ya meza ngumu kajibanze hapo hadi lipite
 
Back
Top Bottom