Nini cha kufanya na kutofanya tetemeko likipita?

Nini cha kufanya na kutofanya tetemeko likipita?

Kama uko ndani ya nyumba kimbilia chumbani. Udikae sebleni katika nyumba. Pia usukae jirani na ukuta wowote upande wa nje ya nyumba kama utakimbia basi hakikisha haupiti kichochoroni kati ya majengo mawili
Kukimbilia chumbani kutasaidiaje?
 
Kama umepata nafasi ya kukimbia bora ukakimbilia nje sehemu yenye uwazi kama kiwanja cha mpira,pasiwepo na miti,
Ila kama hakuna nafasi kwa haraka sana ingia chini ya meza au kitanda,
Kukimbia huwa haifai huwa inashauriwa hivyo
🙏🙏🙏
 
Nyumba hujengwa kwa mfumo mwisho wa maisha yake ije ianguke na katika kuanguka sheria iangukie nje. Ukuta unaotenganisha chumba na sebule upo mahususi kuangukia sebleni. Kwahiyo sehemu ambayo haitoangukiwa na ukuta huwa ni chumbani
Hii ni Elimu mpya kwangu! Shukran🙏
 
Back
Top Bottom