Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Limetokea Mbeya?Limepiga la 4.5 tu lakini kiwewe kilichonipata. Vipi huko yanapiga ya 7! Nini cha kufanya na kutofanya litokeapo tetemeko.
View attachment 3005370
Kwani classmate anasemaje?Poleni mkuu, hii nchi inapitia magumu kila upande aiseee
Namuona kashalewa hapa mkuu...🤣Kwani classmate anasemaje?
😀😀🥺Namuona kashalewa hapa mkuu...🤣
Likitokea usikimbie maana unaweza kuangukiwa na kuta au vitu vingine vilivyo loose. wewe tafuta engo moja ya hicho chumba ulipo au chini ya meza ngumu kajibanze hapo hadi lipiteLimepiga la 4.5 tu lakini kiwewe kilichonipata. Vipi huko yanapiga ya 7! Nini cha kufanya na kutofanya litokeapo tetemeko.
View attachment 3005370
Matetemke hayazoeleki mkuu!
Kuna nchi matetemeko ni muda wowote... na kwa week hata mara moja lazima...Matetemke hayazoeleki mkuu!
Na bado watu wanaendelea na maisha kama kawaida!Kuna nchi matetemeko ni muda wowote... na kwa week hata mara moja lazima...
Unazingua Ndugu.