Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana,

Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya.
Wake wataalamu tunawasikiliza.

Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
 
Waulize wanaosema usiwapangie pesa ya kununua ni umaskini wako.
We nunua tu si unapesa ndio kauli yao
 
Back
Top Bottom