Nini chanzo cha Bifu la Trump dhidi ya Afrika Kusini ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na akaongezea nyingine kwamba Africa Kusini ina sera za DEI na sera mbaya za mazingira zilizo kinyume na maslahi ya Marekani!
20250206_201011.jpg

soma pia: Trump atishia kusitisha misaada ya Marekani nchini Afrika Kusini kwa kunyakua ardhi kutoka kwa baadhi ya watu
 
View attachment 3227140
Kwa sababu waliipeleka israel kwenye mahakam, halafu wako BRICS
 
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na akaongezea nyingine kwamba Africa Kusini ina sera za DEI na sera mbaya za mazingira zilizo kinyume na maslahi ya Marekani!
View attachment 3227140
Tatizo ni Sheria mpya kuhusu suala la ardhi ambayo itaruhusu serikali ya Africa kusini kutaifisha ardhi za hao walowezi wenye kuzimiliki ikiwa ardhi hiyo haitumiki au kuna haja ya kufanya hivyo.

Kiufupi Trump hana tofauti na kaburu kama kina Botha.
 
Tatizo la waafrika hata wakipewa hizo ardhi lakini kesho tu mtasikia nchi ina upungufu mkubwa wa chakula hivyo inaagiza chakula kutoka nje.

Tanzania mwaka 1967 baada ya Nyerere kutangaza Azimio la Arusha tu haikuchukua muda nchi ikaanza kuagiza chakula kutoka nje na 1974 watu walitaka kufa na njaa hadi Marekani ilipotupa msaada wa chakula.

Baadaye mwaka 2002 tuliona Zimbabwe vilevile walitaka kufa na njaa baada ya kuwanyang'anya wazungu mashamba sasa naona inakuja zamu ya Afrika Kusini.
 
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na akaongezea nyingine kwamba Africa Kusini ina sera za DEI na sera mbaya za mazingira zilizo kinyume na maslahi ya Marekani!
View attachment 3227140
soma pia: Trump atishia kusitisha misaada ya Marekani nchini Afrika Kusini kwa kunyakua ardhi kutoka kwa baadhi ya watu
SOuthafrica wazungu bado wanamiliki 90% ya ardhi, na ardhi nyingi inamilikiwa na makaburu huku hawaiendelezi ,sheria iliyotungwa itaruhusu serikali kuchukua ardhi kama haikuendelezwa kama ilivyo kwa tanzania
Musk na wazungu wengi kwa kuwa ndio waathirika na wengi wao ni matajiri hawaishi hata southafrica wapo ulaya na marekani ,wanaipinga hii sheria, musk ndio yupo behind this bad campaign kutetea ndugu zake
 
Tatizo la waafrika hata wakipewa hizo ardhi lakini kesho tu mtasikia nchi ina upungufu mkubwa wa chakula hivyo inaagiza chakula kutoka nje.

Tanzania mwaka 1967 baada ya Nyerere kutangaza Azimio la Arusha tu haikuchukua muda nchi ikaanza kuagiza chakula kutoka nje na 1974 watu walitaka kufa na njaa hadi Marekani ilipotupa msaada wa chakula.

Baadaye mwaka 2002 tuliona Zimbabwe vilevile walitaka kufa na njaa baada ya kuwanyang'anya wazungu mashamba sasa naona inakuja zamu ya Afrika Kusini.
Kwa hili ni kweli waafrika ukiwapa ardhi ni kupoteza muda tu hakuna kitu cha maana watafanya
 
AfriForum ndio majuzi walikuwa wanaloby kuwa South Africa iwekewe vikwazo.

Na tuliobakia tunatakiwa tuvae Condom mashudu yanakatwa.
 
Cruz wrote on X: “The South African government seems to be going out of their way to alienate the United States and our allies. Their timeline to expel our Taiwanese allies from Pretoria is deeply troubling, undermines the national security interests of America and our allies, and will deepen tensions between the US and South Africa.

Uhasama umeanza baada ya Afrika Kusini kuwapa muda Wataiwani kuhamisha ofisi yao ya uwakilishi kama balozi kutoka Pretoria yalipo makao makuu ya nchi kwenda Johannesburg.

Hiki kitendo kimechukuliwa kuwa ni hujuma kwa mshirika wa Marekani dhidi ya Uchina ambayo inaitambua Taiwan kama sehemu yake. Lakini pia sera ya mambo ya nje ya Afrika Kusini inaonekana ni wazi kuwa inapingana na maslahi ya Marekani na washirika wake kama Israel baada ya Afrika Kusini kufungua kesi dhidi ya mauaji ya alaiki huko Gaza. Pia mzozo wa Kongo dhidi ya M23 na Kagame. Pia kuwa na ushirukiano na mahasimu wa Marekani kama Uchina na Urusi kwenye jumuia ya BRICS.
 
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na akaongezea nyingine kwamba Africa Kusini ina sera za DEI na sera mbaya za mazingira zilizo kinyume na maslahi ya Marekani!
View attachment 3227140
soma pia: Trump atishia kusitisha misaada ya Marekani nchini Afrika Kusini kwa kunyakua ardhi kutoka kwa baadhi ya watu
uko south africa wakiondoa DEI si ndio ina maana no more whites?

Hatahivyo, kwa maoni yangu hii taarifa imekaa ki potoshi potoshi. Upo ukweli kiduchu sana.
 
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na akaongezea nyingine kwamba Africa Kusini ina sera za DEI na sera mbaya za mazingira zilizo kinyume na maslahi ya Marekani!
View attachment 3227140
soma pia: Trump atishia kusitisha misaada ya Marekani nchini Afrika Kusini kwa kunyakua ardhi kutoka kwa baadhi ya watu
Bro africa kusini wanamlia timing, kile kitendo chake cha kuifungulia case Israel kuhusu Gaza jamaa kiliwauma mbaya ni suala la muda tu mtu ataumizwa soon.
 
Cruz wrote on X: “The South African government seems to be going out of their way to alienate the United States and our allies. Their timeline to expel our Taiwanese allies from Pretoria is deeply troubling, undermines the national security interests of America and our allies, and will deepen tensions between the US and South Africa.

Uhasama umeanza baada ya Afrika Kusini kuwapa muda Wataiwani kuhamisha ofisi yao ya uwakilishi kama balozi kutoka Pretoria yalipo makao makuu ya nchi kwenda Johannesburg.

Hiki kitendo kimechukuliwa kuwa ni hujuma kwa mshirika wa Marekani dhidi ya Uchina ambayo inaitambua Taiwan kama sehemu yake. Lakini pia sera ya mambo ya nje ya Afrika Kusini inaonekana ni wazi kuwa inapingana na maslahi ya Marekani na washirika wake kama Israel baada ya Afrika Kusini kufungua kesi dhidi ya mauaji ya alaiki huko Gaza. Pia mzozo wa Kongo dhidi ya M23 na Kagame. Pia kuwa na ushirukiano na mahasimu wa Marekani kama Uchina na Urusi kwenye jumuia ya BRICS.
Ila mimi niliona SA ina kiherehere kwenda kuishita Israel, nilijiuliza ina maslai gani na Gaza? au kuna ndugu zake? Ingekuwa nchi jirani kama Misri ndio zinashitaki hapo sawa. Au SA inataka kutunishiana misuri na USA
 
Tatizo ni Sheria mpya kuhusu suala la ardhi ambayo itaruhusu serikali ya Africa kusini kutaifisha ardhi za hao walowezi wenye kuzimiliki ikiwa ardhi hiyo haitumiki au kuna haja ya kufanya hivyo.

Kiufupi Trump hana tofauti na kaburu kama kina Botha.
Na hao makaburu ndo wameijenga hiyo nchi baada ya wao kuachia madarak ni kitu gani viongozi weusi wamefanya cha maana sana
 
Back
Top Bottom