Nini chanzo cha Bifu la Trump dhidi ya Afrika Kusini ?

Bro africa kusini wanamlia timing, kile kitendo chake cha kuifungulia case Israel kuhusu Gaza jamaa kiliwauma mbaya ni suala la muda tu mtu ataumizwa soon.
Nchi nyingi hadi za ulaya zimeunga mkono afrika kusini kwenye ile case, ireland ambayo ndio nyumbani kwa kina biden wamefukuza hadi balozi wa israel, hapo kinachogombaniwa kikubwa ni ardhi, matajiri karibia wote na wanasiasa wa marekani wanamiliki ardhi southafrica hata kipindi cha sera za ubaguzi wa rangi wazungu wote ulaya na marekani waliungana kuendeleza kuitawala southafrica hadi mandela akawa declared terrorist na marekani kwa kupingana na sera zao tu,
Hili swala la ardhi ni very serious kwa wazungu mind u southafrica ni moja ya nch inayoongoza kwa madini , kwenye ardhi wazungu hawana utani angalia zimbabwe alichofanywa na wazungu
 
Ila mimi niliona SA ina kiherehere kwenda kuishita Israel, nilijiuliza ina maslai gani na Gaza? au kuna ndugu zake? Ingekuwa nchi jirani kama Misri ndio zinashitaki hapo sawa. Au SA inataka kutunishiana misuri na USA
Wakati waparestina wanaunga mkoni mapambano ya uhuru wa south Africa walikuwa na maslahi gani,? Wakati huo taifa teule lilikuwa linaunga mkono ukandamizaji wa watu weusi ebu tafakari weka ulokole pembeni.
 
S.Africa walikuwa kwenye kuonewa na makaburu kwa muda mrefu sana ... Maumivu wanayopata watu wa Ghaza na wao wanayafahamu ... Nyerere angelikuwa Hai leo hii angekuwa Hai angekuwa diasponted na Magufuli kufungua ubalozi wa Tanzania Israel...
 
Wakati waparestina wanaunga mkoni mapambano ya uhuru wa south Africa walikuwa na maslahi gani,? Wakati huo taifa teule lilikuwa linaunga mkono ukandamizaji wa watu weusi ebu tafakari weka ulokole pembeni.
Umenikumbusha kweli, kumbe ni kuna historia hapo.
 
Trump ni mbaguzi na ana upendeleo Kwa ngozi nyeupe, hapo kilichomuuma zaidi ni hao watu weupe kunyang'anywa mali na si kitu kingine
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na akaongezea nyingine kwamba Africa Kusini ina sera za DEI na sera mbaya za mazingira zilizo kinyume na maslahi ya Marekani!
View attachment 3227140
soma pia: Trump atishia kusitisha misaada ya Marekani nchini Afrika Kusini kwa kunyakua ardhi kutoka kwa baadhi ya watu
 
Soon South atanyooshwa mbaya ,Economy na investments 90% wazungu na wenzao wa West ndio wamiliki , Zimbabwe walijaribu lakini cha ajabu sasa mashamba yote yamerudi kwa wazungu (wameyanunua tena 😂😩)
 
Wata weupe hata hawajanyang'anywa mashamba wala hawajalalamika. Itakuwa ni kwasababu ya
1.Kesi waliyopeleka South Africa ICJ dhidi ya Israel katika vita vya gaza
2.BRICS
3.Elon Musk kunyimwa kibali cha Starlink SA
 
Elon Musk +Vivek at work.
 
SA ni Anti-US, na SA anatumia kila opportunity na lililo ndani ya uwezo wake kumvimbishia US kwakufanya kinyume na na maslahi ya US, kuna shida gani kama US na yeye ameamua kujibu?
 
SOuthafrica wazungu bado wanamiliki 90% ya ardhi, na ardhi nyingi inamilikiwa na makaburu huku hawaiendelezi ,sheria iliyotungwa itaruhusu serikali kuchukua ardhi kama haikuendelezwa kama ilivyo kwa tanzania
Musk na wazungu wengi kwa kuwa ndio waathirika na wengi wao ni matajiri hawaishi hata southafrica wapo ulaya na marekani ,wanaipinga hii sheria, musk ndio yupo behind this bad campaign kutetea ndugu zake
💯💯💯💯💯💯✅ni propaganda kusema mzungu ananyanyswa SA
 
Wata weupe hata hawajanyang'anywa mashamba wala hawajalalamika. Itakuwa ni kwasababu ya
1.Kesi waliyopeleka South Africa ICJ dhidi ya Israel katika vita vya gaza
2.BRICS
3.Elon Musk kunyimwa kibali cha Starlink SA
Hivi huyu Elon Musk si mtoto wa pale south Africa kabisa
 
Soon South atanyooshwa mbaya ,Economy na investments 90% wazungu na wenzao wa West ndio wamiliki , Zimbabwe walijaribu lakini cha ajabu sasa mashamba yote yamerudi kwa wazungu (wameyanunua tena 😂😩)
 
Kwa mbaaali, naanza kuelewa why Rwanda/Kagame aliipiga mkwara South Africa hi juzi; vita vya Congo vina chain kubwa sana wallah
 
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na akaongezea nyingine kwamba Africa Kusini ina sera za DEI na sera mbaya za mazingira zilizo kinyume na maslahi ya Marekani!
View attachment 3227140
soma pia: Trump atishia kusitisha misaada ya Marekani nchini Afrika Kusini kwa kunyakua ardhi kutoka kwa baadhi ya watu
Tuliwaambia achana na israel wale jamaa ukiwagusa umekwisha souz kwa sasa ni kilio kwa kwenda mbele na nchi zote za africa zilizojifanya kimbelembele kwisha habari yake haya mashirika haya yameacha kaziyake wameingia kwenye ushoga habari yao kwisha na sisi kilio kikubwa naona kinakuja hiki ni cha mtoto niliona gari la misaaada gaza linabendera ya Tz janga hili, kuna vitu havina sababu kuvishadadia bora ukae kimya kama qatar hiki kimbelembele kitatuponza sana kama msaada tungewapa nchi zote zenye vita hyo ni fair play kwa sababu hatuna ugomvi na israel sasa jambo zito linakuja trumpa hana dogo
 
Back
Top Bottom