Unknown future.. With a lot of options and dreams to fulfillTokea nilipofikisha miaka 30 mpaka sasa mwaka wa 6 baadae, nimekuwa na hofu sana na maisha nikitazama nilipotoka na kulinganisha nilipo majibu ya ninakoenda hakuna nuru, mapambano ni mengi ila matokeo chanya ni machache sana.
Miaka kumi nyuma ilikua ni juzi tu hapo nilikua na miaka 20 na, miaka kumi mbele ni kesho kutwa hapo nitakuwa naitafuta 50!
Nilidhani hofu hii ni kwangu tu kumbe wengi ninaokutana nao wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 30 wanaandamwa sana na hofu na kukata tamaa .
Kwa wale waliovuka umri huu ni vipi mliweza kuvuka hapa na vipi inavyowezekana kuondoa hofu hii?
Bado haujakutana na Kauli za watu wanasema ukifika miaka hiyo inabidi uwe umejenga na unaishi na familia yakoTokea nilipofikisha miaka 30 mpaka sasa mwaka wa 6 baadae, nimekuwa na hofu sana na maisha nikitazama nilipotoka na kulinganisha nilipo majibu ya ninakoenda hakuna nuru, mapambano ni mengi ila matokeo chanya ni machache sana.
Miaka kumi nyuma ilikua ni juzi tu hapo nilikua na miaka 20 na, miaka kumi mbele ni kesho kutwa hapo nitakuwa naitafuta 50!
Nilidhani hofu hii ni kwangu tu kumbe wengi ninaokutana nao wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 30 wanaandamwa sana na hofu na kukata tamaa .
Kwa wale waliovuka umri huu ni vipi mliweza kuvuka hapa na vipi inavyowezekana kuondoa hofu hii?
lakini maisha hayaya formulaBado haujakutana na Kauli za watu wanasema ukifika miaka hiyo inabidi uwe umejenga na unaishi na familia yako
Sawa hayaya formula😂😂lakini maisha hayaya formula
Chanzo cha hofu umekitaja ndani ya uzi, kwamba hakuna nuru, halafu unaliza tena chamzo?Tokea nilipofikisha miaka 30 mpaka sasa mwaka wa 6 baadae, nimekuwa na hofu sana na maisha nikitazama nilipotoka na kulinganisha nilipo majibu ya ninakoenda hakuna nuru, mapambano ni mengi ila matokeo chanya ni machache sana.
Miaka kumi nyuma ilikua ni juzi tu hapo nilikua na miaka 20 na, miaka kumi mbele ni kesho kutwa hapo nitakuwa naitafuta 50!
Nilidhani hofu hii ni kwangu tu kumbe wengi ninaokutana nao wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 30 wanaandamwa sana na hofu na kukata tamaa .
Kwa wale waliovuka umri huu ni vipi mliweza kuvuka hapa na vipi inavyowezekana kuondoa hofu hii?
RIP in advanve ushaingia kwenye mfumo
Hata sisi tulio na umri huo na tumejenga na tuna viusafir na familia tayar ila bado hii hofu tunayo mkuu wala habaki mtu salama.Bado haujakutana na Kauli za watu wanasema ukifika miaka hiyo inabidi uwe umejenga na unaishi na familia yako
Me nadhani shida ni kutojipata tuHata sisi tulio na umri huo na tumejenga na tuna viusafir na familia tayar ila bado hii hofu tunayo mkuu wala habaki mtu salama.
No brother.Me nadhani shida ni kutojipata tu