Nini chanzo cha hofu impatayo mtu anapo fika umri wa miaka 30 na kuendela

Ikiwa wewe ni mwanadamu una khofu ya mwenyezi mungu nilazima utakuwa na khofu maana utokapo ni mbali na uendapo ni karibu maana hujui mauti yatakufika lini muombe muumba wako akuongoze na akupe mwisho mwema
 
Punguza matarajio,hofu itaondoka ila ni zoezi linaloweza kuchukuwa maisha yako yote,maana ni mchakato ambao bado unaendelea,kwa hiyo matarajio yapo kilq iitwapo leo,cha msingi ni wewe kutumia akili zako na siyo hisia.
Hakika kabisaaa.
 
Umri huu kwa kweli ndio maisha yanaanza rasmi! Pia ni finali kwa mambo ya utafutaji na kujenga familia. Kama hayaoneshi matumaini kipingi hiki 30-50 basi una kila sababu ya kuwa na hofu. Lakini usihofu sana jipange vizuri ukiwa sawa unaweza bado kupambana hadi hata 60s ukatoboa.
 
Mwaka 2005 juzi tu nilikuwa na miaka 25, leo eti tayari nna miaka 45!!!? Aisee maisha ya duniani ni mafupi sana sana!! Inamaana miaka ishirini ijayo sio mbali nitakuwa mzee!!
 
Mambo mengi-sativa indica,chanting,ital ginger herbs then kuna hii mwita mkubwa na mdogo wake harufu nzuri ..yoww i feel paradise
 
Yani wenye 50 hawana hofu halafu wewe mwenye vi-30 ndio uwe una hofu
 
Yani wenye 50 hawana hofu halafu wewe mwenye vi-30 ndio uwe una hofu
 
Punguza matarajio,hofu itaondoka ila ni zoezi linaloweza kuchukuwa maisha yako yote,maana ni mchakato ambao bado unaendelea,kwa hiyo matarajio yapo kilq iitwapo leo,cha msingi ni wewe kutumia akili zako na siyo hisia.
Asante sana mkuu, naichukua hii.
 
Asante mkuu, kuna kitu umezungumza ,hii comment naicopy nisome tena.
 
Ikiwa wewe ni mwanadamu una khofu ya mwenyezi mungu nilazima utakuwa na khofu maana utokapo ni mbali na uendapo ni karibu maana hujui mauti yatakufika lini muombe muumba wako akuongoze na akupe mwisho mwema
Shukurani sana.
 
Ndio ndugu yangu, naamini kutokea lolote na muda wowote, lakini inabaki kuwa bahati nasibu.
 
Mwaka 2005 juzi tu nilikuwa na miaka 25, leo eti tayari nna miaka 45!!!? Aisee maisha ya duniani ni mafupi sana sana!! Inamaana miaka ishirini ijayo sio mbali nitakuwa mzee!!
Ndio hicho kinacho fikirisha mkuu, miaka kumi nyuma ni kidogo mno, wakati upende mwingine tunaona miaka kumi mbele ni mingi sana.
Hii imenipa wazo fulani la kurudi shule, miaka kadhaa mbele naweza kuwa na kiwango fulani cha elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…