PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Yes upo sahihi ilikuwa ndanda kwenye uwanja Fulani WA mpira upo karibu na stand ya madecoYah mkuu ilikuwa Mtwara ndanda if my memory serves me right
Yes upo sahihi ilikuwa ndanda kwenye uwanja Fulani WA mpira upo karibu na stand ya madecoYah mkuu ilikuwa Mtwara ndanda if my memory serves me right
Nostalgiahiv hii hali ya kuangalia picha za zamani na kuhisi kama zamani maisha yalikuwa mazuri sana na watu walikuwa na furaha sana inaitwaje?
Ina maana unataka kusema alisukumiwa huko 😳😳😳Umeeleza vizuri lakini kusema ni ajali kama ilivyo ajali zingine tuu huo ni uongo, niambie nani mwingine kafa kwa kufyekwa na pangaboi la helikopta?
Na ajali hiyo ilitokea Mkoa wa Mtwara, Ndanda wilaya ya Masasi, siku hiyo Mwinyi alienda kutembelea daraja lililokuwa limesombwa na maji kutokana na mafuriko ya mvua za ya miaka ya 90 katika barabara kuu ya Mtwara-Masasi-Songea.Habibu halahala alifariki baada ya kukatwa na pangaboi lile dogo la helicopter
Panga lile huwa halionekani kabisa at high speed , yeye aliposhuka bila ya kujua madhara akawa anakimbia upande ule wa panga ili mwinyi atakapotoka kwenye helicopter awe kwenye position ya kupata picha nzuri
Ni ajali kama ajali nyingine tu , ila ilitokana na ugeni wa vyombo hivyo kwa miaka ile.
Wamesubiri afe wakati yeye alikuwa anaitwa Ndugu Julius Kambarage NyerereHe!! Na Nyerere naye mmeanza kumuita mheshimiwa?
Ilikuwa ni ziara ya Rais Mwinyi kwenda kutembelea wahanga wa mafuriko mkoani Mtwara!Yah mkuu ilikuwa Mtwara ndanda if my memory serves me right
Anataka mfanano wa ajali kumbe msemo wa "ni ajali kama ilivyo ajali nyingine" ina apply mpaka ajali zingine ambazo ni wachache walizipataIna maana unataka kusema alisukumiwa huko 😳😳😳
Yaani mpaka mwingine afe kwa ajali kama hiyo ndio utaamini kwamba ni ajali kama ajali nyingine, au unahisi amefanyiwa njama kwa kuelekezwa aelekee upande wa pangaboiUmeeleza vizuri lakini kusema ni ajali kama ilivyo ajali zingine tuu huo ni uongo, niambie nani mwingine kafa kwa kufyekwa na pangaboi la helikopta?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli walikuwa na furaha tofauti na Sasa,siku hizi ujuaji mwingi....kila mtu anataka awe na PhD na awe msemaji mkuu
Ndomana watu wakishuka kwenye helicopter huwa wana inamaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hiv hii hali ya kuangalia picha za zamani na kuhisi kama zamani maisha yalikuwa mazuri sana na watu walikuwa na furaha sana inaitwaje?
Nostalgia......
Ni maluweluwe ya urazini wa binadamu kuhusu dhana nzima ya muda, maisha na uwepo wake pamoja na atakiwacho kukifanya hapa duniani. Ni hali ya kawaida...
Hapana umekosea, Nostalgia (kifaransa tunatamka nostajii) ni hali ya kutamani wakati uliopita,kutamani kuziishi Tena zile moments zilizopita ambazo haziwezi kujirudia tenaUPo wrong,neno nostalgia linamaanisha Hali ya kujisikia kuumwa sababu ya kukumbuka nyumbani,hii inaweza kumpata mtu aliyesafiri nchi ya mbali kwa mda mrefu .
Pangaboi ndogo ya nyuma ya Helikopta nuksiIna maana unataka kusema alisukumiwa huko [emoji15][emoji15][emoji15]
Nimesema ni 'ajali kama ajali nyingine ' hapa nilikuwa namaanisha ku phase out speculation kwamba labda ilikuwa ni planned assasnations ,if you are smart enough ilitakiwa ujue kuwa neno ajali ni pana sana ,Umeeleza vizuri lakini kusema ni ajali kama ilivyo ajali zingine tuu huo ni uongo, niambie nani mwingine kafa kwa kufyekwa na pangaboi la helikopta?
Spot on sir !Na ajali hiyo ilitokea Mkoa wa Mtwara, Ndanda wilaya ya Masasi, siku hiyo Mwinyi alienda kutembelea daraja lililokuwa limesombwa na maji kutokana na mafuriko ya mvua za ya miaka ya 90 katika barabara kuu ya Mtwara-Masasi-Songea.
Yaani mpaka mwingine afe kwa ajali kama hiyo ndio utaamini kwamba ni ajali kama ajali nyingine, au unahisi amefanyiwa njama kwa kuelekezwa aelekee upande wa pangaboi
Check hiyo taarifa chini kwenye link
Check na huyo kakoswakoswa
Ila hata mie huu uzi umenifungua maana mie nilikuwa najua amepigwa na ile pangaboi ya juu kama ile picha namba 2 kwenye comment yangu #28 picha ya pili kumbe amepigwa na ile ya mkiani ambayo kimsingi nilikuwa nadhani haina madhara kutokana na location iliyopo (nakubaliana na wewe hii kitu ina nguvu ya kuvuta)Afadhali hata umenisaidia !! Wakati ule maneno ya kifo cha halahala yalikuwa mengi sana , kutokana na ugeni wa hivi vyombo na taarifa zake .kuna watu walizusha kuwa aliuwawa kwa njama za mwinyi
Matter of fact ni kuwa ile rottor at high speed ina tendency ya kuvuta vitu , habibu hakuwa kwenye safe zone.