Nini chanzo cha kifo cha Habibu Halahala aliyekuwa mpiga picha wa Hayati Mwalimu Nyerere?

Nini chanzo cha kifo cha Habibu Halahala aliyekuwa mpiga picha wa Hayati Mwalimu Nyerere?

So How's this story has to do with us ?.

The guy has asked anyone who knows about or the source of Habibu's death to tell him not you fuckiing story.
Sasa na hiki kingereza chako kinatusaidia nini hapa wakati mada ni ya kiswahili?

Mbona kwenye jukwaa linalotumia English hamuonekani kwenda kuchangia mada uko?
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Yah mkuu ilikuwa Mtwara ndanda if my memory serves me right
Yeah ilikuwa mikoa ya kusini na ilikuwa ziara ya kukagua athari za mafuriko yalioikumba mikoa ya Mtwara na Lindi kipindi hicho
 
Nashukuru ndg myoyambendi na t blj mmewahi kuandika ukweli ambao ni sahihi although mmngechelewa tayari wafia dini wangemsimanga late Kambarage.
 
Alikufa kwa kukatwa na
Habari.

Pichani ni marehemu HABIBU HALAHALA aliyekuwa mpiga picha na mwandishi wa habari wa Baba wa Taifa mh Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa TANZANIA.

Alikuwa moja ya watu muhimu na wa waandishi wazuri sana katika nchi hii.

Inasemekana alifariki Kwenye ziara ya Rais Mwinyi.

Nani ana historia nzuri atusaidie ilikuwaje hadi mauti yanamkuta?

View attachment 2238609

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Alikufa kwa kukatwa na Pangaboi za Helcopter iliyowachukua kutembelea Eneo la Mafuriko Lindi.
 
Hapana mzee hiyo inaitwa hivohvo Nostalgia.
Ila hiyo ya kuumwa kisa kukumbuka home inaitwa home siku sickness
Kiingereza ni lugha finyu kama kiswahili,neno moja huwa na maana zaidi ya moja,kama vile kwenye kiswahili neno Kaa linamaana zipatazo tatu,Kaa la moto,mdudu mwenye miguu kama ngadu pia Kaa ya kukaa kwenye kitu,katika kiingereza neno nostalgia humaanisha pia kuugua kwa sababu ya kukumbuka nyumbani.
 

Attachments

  • Screenshot_20220616-182046.png
    Screenshot_20220616-182046.png
    108.4 KB · Views: 24
Hapana mzee hiyo inaitwa hivohvo Nostalgia.
Ila hiyo ya kuumwa kisa kukumbuka home inaitwa home siku sickness
Kiingereza ni lugha finyu kama kiswahili,neno moja huwa na maana zaidi ya moja,kama vile kwenye kiswahili neno Kaa linamaana zipatazp tatu,Kaa la moto,mdudu mwenye miguu kama ngadu pia Kaa ya kukaa kwenye kitu,katika kiingereza neno nostalgia humaanisha pia kuugua kwa sababu ya kukumbuka nyumbani .
 

Attachments

  • Screenshot_20220616-182046.png
    Screenshot_20220616-182046.png
    108.4 KB · Views: 23
Habari.

Pichani ni marehemu HABIBU HALAHALA aliyekuwa mpiga picha na mwandishi wa habari wa Baba wa Taifa mh Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa TANZANIA.

Alikuwa moja ya watu muhimu na wa waandishi wazuri sana katika nchi hii.

Inasemekana alifariki Kwenye ziara ya Rais Mwinyi.

Nani ana historia nzuri atusaidie ilikuwaje hadi mauti yanamkuta?

View attachment 2238609

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Hivi mpiga pasi wa kaunda suti wa Mwalimu JKN bado yupo? Kama sio ,hakuna hata aliyemuachia hizi skills? Manake utafikiri yule dobi wa Kim Jong Un
 
hiv hii hali ya kuangalia picha za zamani na kuhisi kama zamani maisha yalikuwa mazuri sana na watu walikuwa na furaha sana inaitwaje?
Hata mimi huwa hii hali inanikuta. Nikiangalia picha za zamani naona kama maisha yalikuwa mazuri kweli kuliko sasa.

Ila nahisi kwa sababu nina njaa kali kwa sasa ndio sababu.
 
hili jina kuna watu humu wazee wa historia ya udini wanakuja kuleta kwa nini tanzania ilifanyiwa ukatili na wakristo
Wamejazana kwenye meli inayozama wakiendelea kujidanganya wanaelea 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ni ajali kama ajali nyingine tu , ila ilitokana na ugeni wa vyombo hivyo kwa miaka ile.
Kuuumbe mwembwe zoote hizo za kutu challenge bado toto dogo sana weye?? kipindi cha mwinyi ni miaka ile??? si juzi juzi hapa tu!! wkt niko ndoa yangu ya saba!!

juzi juzi tu wkt nikichukua degree yangu ya mayai hasi!!! basi uwe unatupa shikamoo yetu kwanza km ukiingia humu unasikia dogo? sikujua kma nabishana na mtoto siku ile!
 
Huwezi kumsogelea rais kila aendapo kama hujatokea TISS. Hawa watu wa kuandamana na Rais huandaliwa na TISS kwa muda mrefu kisha kuchomekwa tu. Hakuna namna nyingine.
Wapiga picha wote wa ikulu ni TISS,.
 
Back
Top Bottom