Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Hebu ifukunyue utuletee hapa Mkuu.Ni kweli niliona post mahali.
Sio kweli, hili kundi linamaliza watu...Yana mwisho haya
Waache Wauane - Chege ft Diamond PlatnumzHumu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi
wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi
je Kuna mwenye kujua chanzo?