Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi

wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi

je Kuna mwenye kujua chanzo?
Hiyo ni sumu ya panya ilimkosakosa mtu akaona afadhali aanze mapema, Abdul ni hatari sana na leo yupo Uganda anafanya kikao na Museveni mmeona picha zake? Kuna kitu alitaka kitokee akiwa Kampala.
 
BAHATI nzuri ukimuua mtu maisha hayaishii hapa unapoenda Huko Kuna mahakama ya kweli na haki na azabu zipo
 
Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi

wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi

je Kuna mwenye kujua chanzo?
Ohooo! Kama ni hivyo basi safari ya Urusi imeanza kuzaa matunda.
Basi kama hivyo tuanze na walioienda safari hiyo!
 
Huyu Dada alikuwa kifaa kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_2026-08-25-16-13-07-720_com.google.android.youtube.jpg
    Screenshot_2026-08-25-16-13-07-720_com.google.android.youtube.jpg
    7.3 KB · Views: 14
Back
Top Bottom