Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
alikataa kumhujumu boss wake. Alikataa maelekezo ya kisheitwaniHumu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi
wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi
je Kuna mwenye kujua chanzo?