Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Huo unaitwa 'mfumo' nje ya 'mfumo'...Sio kweli, hili kundi linamaliza watu...
Na hakuna wa kuwafanya kwasasa...
Hii chance wameitafuta muda sana, sasa wameipata...
Wataua kila tishio mbele yao...
Labda utokee muujiza.
Hiyo ni sumu ya panya ilimkosakosa mtu akaona afadhali aanze mapema, Abdul ni hatari sana na leo yupo Uganda anafanya kikao na Museveni mmeona picha zake? Kuna kitu alitaka kitokee akiwa Kampala.Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi
wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi
je Kuna mwenye kujua chanzo?
Urusi hawazalishi 94 Pu 244 tena.Ohooo! Kama ni hivyo basi safari ya Urusi imeanza kuzaa matunda.
Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi
wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi
je Kuna mwenye kujua chanzo?
Basi kama hivyo tuanze na walioienda safari hiyo!Ohooo! Kama ni hivyo basi safari ya Urusi imeanza kuzaa matunda.
Omba uzima upate story-D.knobKila chenye mwanzo kina mwisho! Omba uzima
Urusi hawazalishi 94 Pu 244 tena.
Mbavu sina
Tatizo ni kiazi.SAMIA ni very predictable. Hatua zake zinatabirika na anafanya kama ambavyo watu wanafikiria.
Amemfurusha Nchimbi tayari.
Acha tuone atamuweka nani pale juu.
Ukishindwa kufungia hii nenda twitter kwa Jasusi ndiko iliko.Huyu Dada alikuwa kifaa kabisa