Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi

wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi

je Kuna mwenye kujua chanzo?
alikataa kumhujumu boss wake. Alikataa maelekezo ya kisheitwani
 
Wewe Kwa akili zako mtu kama Emanuel nchimbi anakula kula t vyakula vya mpishi hata uyo unayesema anamuamini 😁😁 .. maisha ya wanasiasa high profile kama nchimbi sio maisha mazuri kabisa ni watu wanaishi Kwa waswas na tahadhari muda wote Kwa sabbu kosa Moja anajua ameenda..
Niliwai kuona jins tundu lisu anavyokula kwenye hafla Moja ivi nkasema duuh Yale sio maisha.
 
Hapa sidhani kama tutapata majibu.

Si kuna autopsy ndugu zake na mwajiri wake watajua.

Hapa sisi tupige soga tu ili mradi siku ziende.
 
Nakumbuka Chahali aliwahi kusema kwamba.

"Kuna nyakati mtu mmoja kuambiwa /kuzijua siri kubwa kubwa inakuweka katika hatari kubwa kuliko hata endapo ungezitoa"
 
Ni kweli nilishasikia mwanasiasa mmoja akisema kwamba maji yake yanakaa kwenye LOCKER linalofunguliwa na Password.....One mistake, One Goal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…