OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana.
Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.
Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni Nabi kukosa uvumilivu baada ya kufurumushwa Klabu Bigwa Afrika.