Nini chanzo cha Kocha Nabi na Kaze kupigana?

Nini chanzo cha Kocha Nabi na Kaze kupigana?

Status
Not open for further replies.
Naendelea kusema... Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba uamuzi wa viungo wanne ( bangala, aucho, Feisal na Aziz) kwenye ile mechi ya Sudan ni wa kocha Nabi... Nitakuwa wa mwisho pia kuamini kwamba Nabi ndiye aliyeamua kisinda acheze ile game ya Sudan na kuacha wachezaji kama Moloko nje
Kwanini isiwe yeye ndo kawapanga akisaidiana na wenzake?
 
Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana.

Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.

Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni Nabi kukosa uvumilivu baada ya kufurumushwa Klabu Bigwa Afrika.
Kweli bwana,nasikia Kaze alirukia mzee wa kiarabu Nab kichwa cha kuvunja ukuta sema kibabu cha kiarabu kilikikwepa,ila nasikia kingempata Kaze alikuwa ana kesi ya mauaji kabisa,Kaze ni mtu Mbad sana bloangu
 
Ili kuwasaidia Watani zetu na kudumisha amani yao tar 24 Simba ikubali kufungwa.
 
Mkuu kwani sisi ni technical bench au viongozi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga inawachezaji wenye majina makubwa lakini ni timu ambayo haijabalansi kabisa. Kuanzia kulia upande wa Juma Shabani,katikati 7 kwa mabeki 2 hadi kushoto kote kuna mangufu kibao. Eneo la katikati Yanga haina viungo wakabaji na wanacheza slow sana hali inayoifanya timu isitembee kwa kasi muda wa kushambulia na pia wanachelewa kufanya recovery timu ikiwa haina mpira. Simba wameteseka sana kwa Mkude na sasa Mgunda kapata dawa. Pale kati anakaa Putin na juu anakichafua Mzamiru.
 
Awakupigana kabisa,Kaze alimuuliza jambo Nabi,Nabi kumbe alikua na hasira zake akamsukuma Kaze,Kaze nae hakukubali akataka kulipiza ndo watu wakawazuia wasiendelee kusukumana.

Nabi ni kocha wa hovyo anabebwa na ubora wa wachezaji ila mle kocha hamna.
Watu weupe wanajifanyaga wana vihasira vya ajabu ajabu,vya kuvunja vitu ndani
 
Young africans 3 makolo 0
Ndo itaona nyumbu wanasa tumewafunga magoli ya mbali sio halo
Mara asingekuwepo
Mara azizi ki katufunga kwa mguu wa kushoto kwann
Mara kibwana amekaba okra hata hajatembea sio haki
Mara tumefungwa na Nkane ametokea sub
Mara sawa tumefungwa ila mayele hajatetema
Subiri trh 23
 
Naendelea kusema... Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba uamuzi wa viungo wanne ( bangala, aucho, Feisal na Aziz) kwenye ile mechi ya Sudan ni wa kocha Nabi... Nitakuwa wa mwisho pia kuamini kwamba Nabi ndiye aliyeamua kisinda acheze ile game ya Sudan na kuacha wachezaji kama Moloko nje
Mlitaka Amchezeshe Bangala namba 6 akampanga
Maktaka Feisali amchezeshe namba 10 akamuweka
Mkataka amwanzishe Lomalisa badala ya Kibwana akamwanzisha sa mlitaka profesa wenu afanye nini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naendelea kusema... Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba uamuzi wa viungo wanne ( bangala, aucho, Feisal na Aziz) kwenye ile mechi ya Sudan ni wa kocha Nabi... Nitakuwa wa mwisho pia kuamini kwamba Nabi ndiye aliyeamua kisinda acheze ile game ya Sudan na kuacha wachezaji kama Moloko nje
Na Morrison,wa tano khaaa
 
Yule kaze ana jifanya anajua sanaa wakati yy timu ilimshinda msimu uleeeee akapigwa na chama la mgunda Coastal Union pale Mkwakwan Stadium na ndio chanzo cha yy kutimuliwa chamani,.

Sasa amuacje mwenzie aji nafasi na kosi lake
 
Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana.

Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.

Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni Nabi kukosa uvumilivu baada ya kufurumushwa Klabu Bigwa Afrika.
Huo ni uchochezi toka upande wa pili,wale mbona wanapendana sana?we ulisikia wapi?
JamiiForums-258358081.jpg

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Andaeni timu yenu acheni kuhangaika na Yanga.

Mnatumia muda mwingi kujadili Yanga badala ya kujadili yanayowshusu halafu mje mseme tunanunua mechi kumbe mmewekeza kwenye majungu na umbea.
Heheheh
Wakuacheni kwa kweli maana Yanga kukunjana na kukabidhiana nakoz ni utamaduni usio na madhara kwao🤪🤣🤣
 
Heheheh
Wakuacheni kwa kweli maana Yanga kukunjana na kukabidhiana nakoz ni utamaduni usio na madhara kwao[emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Una maana fujo isiyoumiza?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji38][emoji38][emoji847]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom